Monday, September 24, 2018

NBA

Home NBA

UNAZO BILIONI 30 ZA MADAFU? MUONE JORDAN AKUACHIE MJENGO WAKE WA CHICAGO, NA AIR...

  Mjengo wa kifahari wa Michael Jordan wuliopo kwenye eneo la futi 56,000 za mraba sawa na mita 520 za mraba umekuwa ukiwekwa sokoni kwa...

MEMPHIS GRIZZLIES YAFANYA KWELI MBELE YA INDIANA PACERS

Baada ya kuangukia pua vibaya mbele ya Cleveland Cavaliers katika mechi yake ya ufunguzi, timu ambayo siku zote imekuwa ngumu na bora sana, Memphis...

KNICKS WAANGUKIA PUA KWA MWEWE WA ATLANTA

Walau sasa Atlanta Hawks unaweza kuwaita mwewe hawa walipata ushindi wao wa kwanza baada ya kupoteza mchezo wa awali na hatimaye tulishuhudia ile njaa...

MAADUI MARK CUBAN NA DEANDRE WAKUTANA, CLIPPERS IKIMUUA MAVERICKS

Ulikuwa usiku wa kufurahisha kutokana na mahasimu wa ghafla kukutana sehemu moja. Wakati wa maandalizi ya msimu mpya mmiliki wa klabu ya Dalls Mavericks...

MATOKEO YA MICHEZO YOTE YA NBA

FINAL WAS 88 ORL 87 1 2 3 4 T 31 22 12 23 88 29 22 16 20 87 FINAL PHI 95 BOS 112 1 2 3 4 T 26 14 27 28 95 21 30 28 33 112 FINAL CHI 115 BKN 100 1 2 3 4 T 30 28 28 29 115 19 36 16 29 100 FINAL UTA 87 DET 92 1 2 3 4 T 15 29 20 23 87 16 25 28 23 92 FINAL CHA 94 MIA 104 1 2 3 4 T 27 17 16 34 94 23 31 19 31 104 FINAL IND 99 TOR 106 1 2 3 4 T 30 15 23 31 99 20 17 35 34 106 FINAL DEN 105 HOU 85 1 2 3 4 T 27 26 23 29 105 21 28 14 22 85 FINAL CLE 106 MEM 76 1 2 3 4 T 26 27 26 27 106 10 22 23 21 76 FINAL NYK 122 MIL 97 1 2 3 4 T 27 36 27 32 122 23 28 22 24 97 FINAL SAS 106 OKC 112 1 2 3 4 T 27 28 28 23 106 29 21 29 33 112 FINAL DAL 111 PHX 95 1 2 3 4 T 24 30 34 23 111 22 23 21 29 95 FINAL NOP 94 POR 112 1 2 3 4 T 18 25 24 27 94 43 27 17 25 112 FINAL LAC 111 SAC 104 1 2 3 4 T 25 31 29 26 111 17 29 28 30 104 FINAL MIN 112 LAL 111 1 2 3 4 T 22 29 37 24 112 31 29 35 16 111

CAVALIERS YAIPA KUBWA MEMPHIS GRIZZLIES

Kevin Love alikuwa na pointi 17 na 13 rebounds , Richard Jefferson alikuwa na pointi 14 na Cleveland kupata faida kubwa mapema na kuibamiza...

NEW YORK KNICKS YAIFUMUA MILWAUKEE BUCKS

Derrick Williams alifunga pointi 24 na kinda  mwenye umri wa miaka 20, Kristaps Porzingis alikuwa 16 katika mechi yake ya kwanza ya NBA ,...

DALLAS YAFANYA KWELI DHIDI YA SUNS

Ilikuwa ni juhudi kubwa kama timu kwa pamoja, " kocha wa Dallas Mavericks  Rick Carlisle alisema. " Tulikuwa nawachezaji nane wote wakifunga pointi zenye...

MCCOLLUM AFUNGA 37, BLAZERS IKIIKATA PELICANS

McCollum alifunga pointi 37, nyingi zaidi katika historia yake ya maisha ya kikapu,  ikiwa ni pamoja na pointi 3 sita. Huku ikiwa ni Portland...

GRIFFIN ANG’ARA, CLIPPERS IKIWAPIGA WAFALME WA SACRAMENTO

Griffin leo alfajiri alikuwa bora sana akiiongoza Clippers kupata ushindi dhidi ya Sacramento  Kings 111-104 . Pamoja na mchezo kuwa  katika usawa katika dakika...

STORY KUBWA