Sunday, September 23, 2018

NBA

Home NBA

JAMES HARDEN AENDELEA KUCHEMKA, MIAMI YAIMALIZA HOUSTON ROCKETS

Miami Heat walikuwa vyema sana, hasa mchezaji wao Hassan Whiteside. Wametoka nyuma kwa point 21 na kwenda kushinda kwa point 109-89.   Hassan Whiteside alikuwa...

MATOKEO YA JUMLA YA NBA TAREHE 31/10

FINAL UTA 97 IND 76 1 2 3 4 T 23 19 28 27 97 29 20 12 15 76 FINAL NYK 117 WAS 110 1 2 3 4 T 29 30 28 30 117 29 27 34 20 110 FINAL GSW 134 NOP 120 1 2 3 4 T 31 33 41 29 134 28 37 26 29 120 FINAL BKN 91 MEM 101 1 2 3 4 T 26 19 24 22 91 31 25 23 22 101 FINAL PHX 101 POR 90 1 2 3 4 T 27 29 18 27 101 23 25 23 19 90 FINAL SAC 109 LAC 114 1 2 3 4 T 31 24 24 30 109 24 35 24 31 114

GRIFFIN ANG’AA, JORDAN AWEKA REKODI.CLIPPERS MWENDO ULE ULE

Blake Griffin sasa anacheza kama anahhitaji tuzo ya MVP, yupo katika ubora wa khali ya juu na kiwango chake kimeendelea kupanda kadiri siku zinavyokwenda....

CARMELO ANTHONY, “YEAH BOY, YEAH MELO”, KNICKS YAFANYA KAZI

Miezi zaidi ya nane iliyopita, Carmelo Anthony alifanyiwa upasuaji wa goti lake la kushoto . Lakini alfajiri ya leo unaweza kusema alikuwa katika ubora...

STEPHEN CURRY NI CURRY HAKUNA MWINGINE, WARRIORS YAIMALIZA PELICANS

Golden State warriors wameendelea kuthibitisha kuwa wao ni bora baada ya kuifunga New Orleans Pelicans mara mbili ndani ya michezo yao mitatu ya ufunguzi...

HALI YA LAMAR ODOM YAIMARIKA, KHLOE KARDASHIAN NA JAMES HARDEN KATIKA SINTOFAHAMU

Miujiza kutokea , na pengine  Lamar Odom anapokea miujiza hiyo. Khali ya Lamar Odom imekuwa na unafuu ghafla hasa baada ya madaktari kuthibitisha kuwa...

MATOKEO YOTE YA NBA TAREHE 30/10 HAYA HAPA

FINAL MIA 92 CLE 102 1 2 3 4 T 23 19 25 25 92 29 18 29 26 102 FINAL OKC 139 ORL 136 1 2 3 4 OT1 OT2 T 31 22 22 42 9 13 139 35 32 26 24 9 10 136 FINAL UTA 99 PHI 71 1 2 3 4 T 28 22 24 25 99 19 14 20 18 71 FINAL TOR 113 BOS 103 1 2 3 4 T 26 28 30 29 113 26 28 21 28 103 FINAL CHI 94 DET 98 1 2 3 4 OT1 T 19 20 25 19 11 94 23 12 29 19 15 98 FINAL CHA 94 ATL 97 1 2 3 4 T 22 30 17 25 94 29 24 23 21 97 FINAL WAS 118 MIL 113 1 2 3 4 T 22 39 21 36 118 33 32 27 21 113 FINAL BKN 75 SAS 102 1 2 3 4 T 21 26 17 11 75 25 17 34 26 102 FINAL MIN 95 DEN 78 1 2 3 4 T 26 23 30 16 95 16 23 24 15 78 FINAL GSW 112 HOU 92 1 2 3 4 T 30 27 24 31 112 29 15 21 27 92 FINAL LAL 114 SAC 132 1 2 3 4 T 24 26 33 31 114 40 34 28 30 132 FINAL POR 92 PHX 110 1 2 3 4 T 23 26 20 23 92 27 28 28 27 110

CURRY AMFUNIKA HARDEN WARRIORS IKIIADHIBU ROCKETS

Curry alifunga pointi 25 na Golden State Warriors ikiwaadhibu 112-92 Houston Rockets. Hii ilikuwa  mechi ambayo ilikuwa rejea au kumbukumbu ya fainali za mwaka...

OKC CHUPUCHUPU, YAICHAPA ORLANDO MAGIC

Russell Westbrook na Kevin Durant wamefikisha mengi makubwa na yanayovutia ambayo mara nyingi yamekuwa  mambo ya muhimu kwa klabu yao ya Oklahoma City Thunder...

CLEVELAND CAVS YAICHAPA MIAMI HEAT

James alifunga 29 pointi wakati Kwvin Love aliongeza 24 kwa 14 rebounds na Cavaliers Cleveland ikashinda mchezo wake wa kwanza wa nyumbani, 102-92. Dwyane...

STORY KUBWA