NBA

Home NBA Page 2

KOBE BRYAAANT…. MBABE HAANGUKI DAIMA. KOBE AREJEA KATIKA KIWANGO AIUA WASHINGTON WIZARDS.

Ni ngumu sana kumkumbatia nungunungu kwa muda wote, maana ipo siku au muda ambao atatoa miiba yake na ikakuchoma. Ndicho kitu unachoweza kusema juu...

THUNDER WAREJEA KATIKA USHINDI, WESTBROOK YULEE, DURANT GARI IMEWAKA. THUNDER YAIPIGA SUNS

Kevin Durant alikuwa na pointi 32 na 11 rebounds na Oklahoma City ikiwapiga Phoenix Suns 124-103 na kuondoa rekodi ya kupoeza michezo mitau mfululizo....

LEBRON NA REKODI ZAKE, CLEVELAND YAITAFUNA PHILADELPHIA 76ERS

James alifunga pointi zake nyingi zaidi msimu huu 31, huku  18 zikiwa  katika robo ya tatu, na Cavaliers ikapata ushindi wa tano mfululizo, 108-102...

WACHAWI WA WASHINGTON WAROGA VYEMA. WASHINGTON WIZARDS YAIFUMUA CAVALIERS NA LEBRON WAKE

Hapana shaka kabisa kuwa moja ya viwanja vigumu kushindakwa siku za karibuni ni nyumbani kwa Cleveland Cavs. Unatakiwa uwe mchezoni hasa ili ufanikiwe kupata...

Lebron James asimamishwa.

Haikutegemewa lakini imetokea. Cleveland Cavs wamefungwa na Atlanta Hawks huku wakiwa na rekodi bora zaidi katika NBA msimu huu. Dennis Schroder alifunga pointi nyingi zaidi...

Lebron James Ameamua Kuishi Dunia Ya Peke Yake. Hazuiliki.

LeBron James amekuwa mchezaji wa kipekee msimu huu. Wakati wengi wakiona kama mchezaji ambaye angeweza kupungua kasi kutokana na umri, Lebron ameendelea kuwa kinyume...

Mchezo Wa NBA Afrika Kupigwa Tena. Makampuni Yajitokeza

Chama cha mpira wa kikapu chini Marekani (NBA) and pamoja na chama cha wachezaji wa mpira wa kikapu nchini Marekani (NBPA) wametanganza kuwa makampuni...

MATOKEO YA JUMLA NOV 8, TIZAMA HIGHLIGHTS ZA DEROIT VS PORTLAND, MIAMI VS TORONTO...

FINAL IND 97 CLE 101 1 2 3 4 T 22 20 31 24 97 24 23 27 27 101 FINAL LAL 95 NYK 99 1 2 3 4 T 25 24 21 25 95 25 20 26 28 99 FINAL TOR 76 MIA 96 1 2 3 4 T 24 23 16 13 76 22 22 30 22 96 FINAL PHX 103 OKC 124 1 2 3 4 T 29 25 23 26 103 29 31 29 35 124 FINAL DET 120 POR 103 1 2 3 4 T 23 24 32 41 120 32 25 35 11 103 HIGHLIGHTS DETROIT VS PORTLAND https://www.youtube.com/watch?v=PP6RvcZvylc HIGHLIGHTS https://www.youtube.com/watch?v=Am5pE9Mqf4E  

WESLEY MATHEWS AFANYA ANAYOYAFANYA VYEMA, AIONGOZA DALLAS KUANGUSHA WACHAWI WA WASHINGTON.

Wesley Mathews hakuwa na maisha mazuri mwanzo wa msimu huu, mpaka akajichukia mwenyewe. Akarejea kauli za Kobe Bryant kuwa nachukia nachokifanya mwenyewe kwa sababu...

OKC bila Durant yaanza vyema, Westbrook hatari

Wengi walikuwa wanasubiri kuitizama kabu ya Oklahoma City Thunder itacheza vipi msimu ila ya kuwa na mchezaji wake bora wa kipindi kirefu, Kevin Durant...

GOLDEN STATE WARRIORS YAENDELEA KUWEKA REKODI KATIKA NBA, YAWACHAPA GRIZZLIES

Golden State Warriors hawakuwahi kuanza msimu vizuri kiasi hiki cha sasa katika kipindi cha miaka 55 . Kipindi kama hiki kiliwakuta kipindi hicho hata...

Stephen Curry Amchapa Lebron James, Warriors Yainyoosha Cavaliers.

Mchezaji wa klabu ya Golden State Warriors, Stephen Curry kwa mara nyingine amefanikiwa kuongoza kwa mauzo ya jezi kwa wachezaji wote wanaoshiriki ligi kuu...

BAADA YA KIFO CHA FLIP SAUNDERS HIZI NI TWEET ZA RAMBI RAMBI

Kutokana na kuondokewa na moja ya watu mashuhuri wa mchezo wa kikapu ambaye alikuwa ni kocha na Rais wa Minnesota Timberwolves Flip Saunders, wadau...

KOCHA WA GOLDEN STATE WARRIORS STEVEN KERR NJE

Na Nicasius N Agwanda (Nicasius Coutinho Suso) Kocha wa Golden State Warriors Steve Kerr atakosa michezo ya ufunguzi kutokana na kuendelea kupata matibabu na kupona...

REKODI MBALIMBALI ZILIZOWEKWA MPAKA SASA KATIKA NBA MSIMU 2015/16.. PART TWO

Novemba 23, 2015, LeBron James aliingia katika orodha ya wachezaji 25 wa muda wote waliotoa pasi/assists nyingi. Hi ilimfanya kujiunga na Oscar Robertson kama...

HATIMAYE MKE WA MAGIC JOHNSON AFUNGUKA KUHUSIANA NA MAISHA YA MAAMBUKIZI YA VIRUSI YA...

Wengi wanamkumbuka moja ya wachezaji bora kuwahi kugusa mpira wa kikapu, Earvin "Magic" Johnson Jr ambaye alileta ladha tofauti katika mchezo huu na kuufanya...

Los Angeles Clippers wa Moto Kweli.

Blake Griffin alikuwa na pointi 22 na rebound 13 rebounds, Chris Paul akaongeza pointi 19 na wote wakaisaidia Los Angeles Clippers kuichapa Portland Trail...

OKLAHOMA CITY THUNDER YAZINDUKA NA KUWATUNGUA DALLAS MAVERICKS. WESTBROOK ON FIRE

Kama umepitwa na game hii usikubali kupitwa tena na game nyingiza za NBA kwasababu Startimes wana suluhisho lako, ukiwa na king'amuzi cha Startimes utaona...

UNAZO BILIONI 30 ZA MADAFU? MUONE JORDAN AKUACHIE MJENGO WAKE WA CHICAGO, NA AIR...

  Mjengo wa kifahari wa Michael Jordan wuliopo kwenye eneo la futi 56,000 za mraba sawa na mita 520 za mraba umekuwa ukiwekwa sokoni kwa...

CURRY YULEE, WARRIORS WALEE… HAKUNA WA KUWASHIKA. WAIUA CHARLOTTE HORNETS

Unaweza kuliita tatizo sasa ndani ya NBA, ingawa kila mmoja anatamani na anavutika kuona nani atahusika kkuifunga Warriors kwa mara ya kwanza. Dell Curry alimwambia...
473,622FansLike
169,928FollowersFollow
72,217FollowersFollow