NBA

Home NBA

CLIPPERS WAENDELEA KUDHOOFIKA. WAANGUKIA PUA TENA DHIDI YA TORONTO RAPTORS

NBA TV ni channel ambayo ina maudhui ya ligi ya NBA kwa muda wote wa masaa 24. Kwa wewe mpenzi wa NBA basi hii...

WADE NA BOSH WAIONGOZA MIAMI NA REKODI IMARA DHIDI YA SACRAMENTO KINGS

Wade alifunga pointi 24 na Miami Heat kuwapiga Sacramento Kings 116-109 Alhamisi usiku ,huku wakitumia faida ya Sacramento kumkosa nyota wao DeMarcus Cousins baada...

Stephen Curry akiwasha, Warriors kama inarejea hivi.

Swali kubwa kuelekea msimu mpya wa NBA lilikuwa namna ambayo makali ya Golden State Warriors yangeweza kuzuiwa hasa baada ya kumwongeza mchezaji Kevin Durant...

HARDEN ATENGUA LAANA, HOUSTON YAINYOOSHA OKLAHOMA CITY

Harden alifunga pointi 37, na makombora Houston kuwapiga Oklahoma City Thunder 110-105 na kupata  ushindi wao wa kwanza msimu huu . ”nilijaribu mitupo miwili...

CLIPPERS WAPOTEZA FUNGUO, SASA WANAFUNGWA MFULULIZO. WAAMBULIA KICHAPO DHIDI YA UTAH JAZZ

Sio kila siku ambayo huja kama bahati mbaya kwako dhidi ya mpinzani wako fulani. Huwadia  siku ambayo utampatia tu achilia mbali ubabe anaoweza kuwa...

JIJI LA LOS ANGELES LAAMUA TAREHE 23 AGOSTI KUWA KOBE BRYANT DAY.

Kitendo cha kuamua kustaafu kucheza mchezo wa mpira wa kikapu kwa Kobe Bryant imekuwa kama hatua nzuri kwake kwani neema kadhaa zimeanza kufunguka kwake...

CLIPPERS YAMWANGUSHA MCHAWI WA ORLANDO. GRIFFN AENDELEA KUNG’AA HUKU JAMAL CRAWFORD AKICHUKUA SHOW

Unapokuwa unawakosa wachezaji wako wawili wa kikosi kinachoanza ambao ni muhimu kuoita kiasi basi unahitaji wengine waibuke na kukupa sababu ya kuamini kuwa una...

KEVIN DURANT NA WARRIORS WARARURIWA DHIDI YA SPURS

Inawezekana wengi walisubiri kwahamu ujio wa mchezaji Kevin Durant katika jezi zake mpya, mji wake moya na klabu yake mpya. Wengi pia walisubiri kuona...

Ushahidi: Cristiano Ronaldo ndio Mwanamichezo Anayependwa kuliko wote duniani.

Inaaminika David Beckham ndio alikuwa mchezaji maarufu kuliko yoyote katika kipindi cha kuanzia 1999-2010, lakini taji hilo kwa sasa lipo chini ya mwanasoka Cristiano...

DALLAS YAFANYA KWELI DHIDI YA SUNS

Ilikuwa ni juhudi kubwa kama timu kwa pamoja, " kocha wa Dallas Mavericks  Rick Carlisle alisema. " Tulikuwa nawachezaji nane wote wakifunga pointi zenye...

STORY KUBWA