Wednesday, September 26, 2018

Makala

Home Makala

EXCLUSIVE: PAUL NONGA AFICHUA SIRI ILIYOFICHIKA NYUMA YA JEZI NAMBA 26 NI BAADA YA...

Shaffihdauda .co.tz: Umebadilisha mazingira kutoka Mwadui FC kwenda Yanga SC, hii inaweza kuwa changamoto kwako, umejipangaje kuhakikisha unapata nafasi ya kucheza kwenye kikosi cha...

POLE MOURINHO, LABDA ANGEKUWEPO TRUMAN..

Nilikuwa natizama mchezo wa Chelsea dhidi ya Sunderland,  huu ulitoa picha kamili ya nini kimeendelea pale katika klabu ya Chelsea. Mashabiki walitoa ya moyoni, ...

MCHEZAJI MWENYE MKONO MMOJA AFUNGA KIKAPU CHAKE CHA KWANZA KWENYE MASHINDANO YA VYUO YA...

Mungu ndiye mwamuzi ya yote, Mungu ndiye mpangaji na yeye ndiye mpaji. Kijana anayesoma katika chuo cha Florida Zach Hodskins lazima anauishi usemi huu....

KWAHERI PEP GUARDIOLA, WALAU SASA HIVI UMEKUNA KICHWA KWA NGUVU….

Kuna baadhi ya vitu ambavyo kama mwanadamu inabidi uvikumbuke sana, na ni muhimu kumshukuru Mungu kuwa ulipata kuvishuhudia. Mojawapo ni kuona Sir Alex Ferguson...

ALAMSIKI LEICESTER CITY, MAISHA HAYAJAWAHI KUWA YA USAWA.

Kuna jambo moja tu ambalo maandiko ya kidini na maandiko ya kisayansi yamekubaliana, nalo ni usiku na mchana.  Kila mmoja anasema kivyake lakini wote...

NIMEMUELEWA NAPE, HATA JAPAN WAMEFANIKIWA

Na Shaffih Dauda YOKOHAMA, Japan Nianze kwa kuweka wazi kuwa nimemkubali sana Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye kwa wazo lake la kufanya...

TUANZIE WAPI ILI KUWAPATA SAMATTA, ULIMWENGU, KWA AJILI YA TAIFA STARS YA KESHO?

Na Wilfred Kadege, Dar es Salaam Habari zenu wanajamii wa kitanzania hasa wale wapenda soka. Nimekaa nikafikiri sana na kupata muarobaini ambao ukitumika ipasavyo kwa...

STORY KUBWA