Monday, September 24, 2018

Makala

Home Makala

Zlatan anusurika kifo, asema Van Gaal ni Dikteta

Sehemu ya 6 Ilipoishia…. “Nilipoingia uwanjani tulikuwa chini magoli mawili. Nilikuwa namfokea kila mchezaji uwanjani. Hata nilipomfokea Zlatan nae alinifokea. Nikachukia sana kitendo cha Zlatan kunijibu...

Kwenye sanduku la Ballon d’Or kura za Salah zitalindwa kweli?

Hakuna kitu kinachotafuna nyoyo za watu kama chuki na unafiki. Walio wengi hawapendi ukweli wa kile wasichokipenda uzidi kudumu. Tukiachilia ushabiki wetu na unazi...

Lwandamina alikuwa ‘mtu haswa Yanga’ Sanga

Na Baraka Mbolembole KLABU ya ZESCO United ya Zambia imetangaza kuingia mkataba na kocha wao wa zamani, George Lwandamina na kuzua hali ya sintofahamu klabuni...

Ibrahim Ajib anapaswa kujifunza kwa Mhilu ili awe mchezaji bora Yanga

Na Baraka Mbolembole IBRAHIM Ajib ni mchezaji mwenye kipaji kikubwa, lakini si rahisi kwake kuwa mchezaji kamilifu kama hatoachana na mchezo wake usiozingatia nidhamu. Kwa kipindi...

Zlatan apokonywa gari na Mino Raiola

Sehemu ya 5 Ilipoishia… Mapema kabisa Zlatan alifika na Porsche yake kali, akiwa amepiga koti moja matata la Gucchi. Wakiwa wanamsubiri Raiola, Zlatan alipigwa na bumbuwazi...

Madrid Watampiga Chura Teke Au Watamwacha Mwanaharamu Apite?

Real Madrid wanawapokea Atletico Madrid pale Bernabeu. Ni maamuzi yao aidha kutoa nafasi kubwa ya kombe kwa Barcelona na kuwaekeka kwa gwaride la heshima...

Mourinho Vs Guardiola: niliyaona haya kitambo

Makala hii niliandika tarehe 31 mwezi wa kwanza mwaka 2016. Nilichokiona kwenye akili yangu kuwa kama Mourinho na Guardiola watakuwa ligi Moja basi tutarajie wao...

Ukurasa wa Ally Hamad Ally kijana wa Manji mwenye kipaji

"Tatizo kubwa linalokwamisha ligi yetu ni Kwa vilabu Vidogo namna vilabu hivi vinavyofanya kazi. Wachezaji wengi wanakata tamaa kutokana na matatizo ya mishahara. Wakati...

Hivi huyu ‘Boccogoals’ ni ‘jogoo la shamba’, au ‘mfalme’ wa ugenini?

Na Baraka Mbolembole NAHODHA wa Simba SC, John Bocco  alifunga magoli yote mawili ya timu yake katika ushindi wa 2-0 ugenini dhidi ya Njombe Mji...

Kidato cha Sita wamemuona Ronaldo lakini?

Sitaki niongelee ubora wa magoli yake. Sitaki nizungumzie suala la ushindani wake na Messi maana sio la msingi sana. Ronaldo ni mchezaji ambaye kidato...

STORY KUBWA