Makala

Home Makala Page 5

Nani mchawi wa taifa Stars?

Kinachonichekesha ni kwa namna tunavyotwanga kokoto kwenye kinu. Kila siku tunalaumu mtwangio wetu haufanyi kazi bila kujua sisi ndo chanzo. watanzania tunataka kuvuna shamba...

Kabla ya Salah – alikuwepo Abdelrehman Fawzi – shujaa wa kwanza wa Misri na...

Wakati wamisri, waafrika na wapenda michezo duniani wakisubiri kuona nini atakachofanya Mohamed Salah katika Kombe la dunia 2018, miaka 84 iliyopita kulikuwa na shujaa...

Ngumu Kumeza imezigusa Simba na Yanga

Vilabu vya Tanzania na timu yetu ya taifa vinapotolewana na kushindwa kufuzu hali ile huwa haitokei kwa bahati mbaya ila kwa kuzidiwa mipango na...

Siku 8️⃣3️⃣ Kabla ya World Cup: Kwanini Brazil ndio timu yenye mafanikio zaidi

Tumebakiza takribani miezi miwili na siku 23 kabla ya michuano ya kombe la dunia kunza - mnamo 14 June. Mashindano ya 21 ya dunia...

The Bad Boys: Wachezaji 11 waliowahi kuhukumiwa kwenda Jela kwa makosa ya kubaka, madawa,...

Wanasoka wamezoeleka kuwepo kwenye line up za makocha wao, lakini baadhi wamezoeleka kuwepo kwenye line up za polisi pia!. Hapa, tuangalie wachezaji 11 ambao wamekumbwa...

Mechi 10 za Kimataifa ambazo hutakiwi kuzikosa leo

Wakati tumebakiza siku 83 kabla ya kuanza kwa Kombe la dunia - timu za taifa zimeanza kujiandaa na michuano hiyo kwa mechi za kirafiki...

Zlatan ashushwa daraja, amkana Rafiki yake kisa umaarufu

Sehemu ya tatu; Simulizi inayolezea maisha ya Zlatan Ibrahimovic Na Priva Abiud Ilipoishia…. Mungu sio athumani wakiwa nyuma magoli 2-1, dakika ya 93 Malmo FF walizawadiwa mkwaju...

Historia, mafanikio, na ubora wapinzani wapya wa Yanga kimataifa

Machi 21, 2018 macho na masikio ya wapenda soka nchini yalikuwa mjini Cairo, Misri kutaka kufaham Yanga ambao ndio wawakilishi pekee wa Tanzania kwenye...

Zlatan Apigana Uwanjani, adai anampenda baba kuliko Mama

Sehemu ya pili Hii ni makala inayozungumzia maisha ya Zlatan Aliishi na Mama yake Bi Jurka Gravic baada ya kutalakiana na baba yake mzee Sefik. Sheria...

Unafiki wa Camp Nou utamezwa na Kombe la dunia

Tiketi ya Urusi Mesut Ozil aliondoka Real Madrid, kila mtu alisikitika kwa maamuzi yale. Sababu za kuuzwa kwake zilikuwa na figisu Figisu. Naweza kusema yalikuwa...

Gerrard na Lampard hawana meno

Na Priva ABIUD Ni miaka Takribani 25 imepita tokea ligi kuu England iundwe upya mnamo mwaka 1992. Lakini miaka 7 nyuma, kunako mwaka 1985 pale...

Gueye ambwaga Kante

Hata mfumo wa timu ubadilike Vipi lakini kuna nafasi mara nyingi kuna nafasi hazibadikiki sana au hazibadiliki kabisa. Nafasi ya mlinda lango na kiungo...

Shkamoo Tshishimbi

Fundi wa mpira. Mpaka rangi bora wa soka kwa muda huu. Kichaa wa soka kwenye kumiliki. Mkongo mwenye miguu iliyofunga ndoa na mpira. Akili...

Barua ya Conte kwenye mfuko wa Abramovic

Na Priva ABIUD Hakuna kitu kibaya kama mkeo kugombana na majirani au mawifi. Hiki ndicho kinachomsibu Roman Abramovic. Conte bwana! Dah! Achana na taarabu zake...

Rekodi za Simba, Yanga, zinapocheza kimataifa ugenini

Na Baraka Mbolembole KUELEKEA mchezo wao wa kumi wa Ligi ya Mabingwa Afrika Afrika, rekodi ya Yanga SC katika michezo tisa iliyopita ya michuano hiyo...

Ngumu Kumeza iliyogusa Singida United

Tukiwa njiani tunatokea Mwanza yanatokea mabishano kwenye basi baina ya abiria hiyo ni baada ya mmoja wao kuja matokeo waliyoyapata Yanga dhidi ya Stand...

Kijiko cha Wambura kwenye sahani ya TFF

Na Priva ABIUD Watanzania ni watu poa sana. Hata mkiwa mnaiba kila mtu akichukua chake bila kumsumbua mwenzke hamna tatizo. ndivyo tulivyo. tumeumbwa hivyo. kigezo...

Mastaa Hawa wamefulia, wanatangatanga

Na Priva ABIUD Ngoma ikipigwa sana mwishowe inapasuka au inakosa ladha yake ya hapo awali. Kuna baadhi ya mastaa kipindi cha nyuma walitesa sana na...

Tuachane na Dilunga Vipi kuhusu Omary

Nyota ya Mchana Na Priva, ABIUD Maisha ya Lionel Messi nyuma yake palikuwa na kikundi kikubwa cha watu. Messi hajafanikiwa tu kwa juhudi zake binafsi. Nyuma...

Zlatan aamua kuachana na soka atafutwa kwa wizi

Hii ni historia kwa kina kuhusiana na Maisha ya Zlatan Ibrahimovic. Imeandaliwa na Priva ABIUD Sehemu ya kwanza Zlatan anaamini kucheza soka kwake ni kama kufanya ibada....
473,643FansLike
169,928FollowersFollow
72,600FollowersFollow