Wednesday, September 26, 2018

Makala

Home Makala

DYLAN KERR: MUINGEREZA WA PILI KUZINOA SIMBA,YANGA

*Atauweza mfupa uliowashinda Wabrazil, Waserbia? KOCHA Dylan Kerr ameweka rekodi ya kuwa Muingereza wa kwanza kuinoa Simba tangu vurugu za kutimua ovyo makocha zilipoanza katika...

KOMBE LA DUNIA WANAWAKE: MAMBO MUHIMU JAPAN IKIIFUNGA UINGEREZA NA KUTINGA FAINALI

Simon Chimbo; Katika kipindi chote hiki cha kombe la dunia la wanawake shaffihdauda.co.tz imeendelea kukuletea tathimini ya michezo mbalimbali inavyoondelea. Katika mchezo wa nusu fainali...

Jicho la 3: Maajabu ya goli la Tambwe, na jinsi waamuzi walivyoibeba Simba muda...

Na Baraka Mbolembole 'NI Ujinga' kufikiria unaweza kupata matokeo mazuri wakati unachofanya ni kile kile kila msimu na kinakuletea matokeo mabaya. Timu gani ilibebwa katika Yanga...

YANGA YAIBUKA KIDEDEA, YAITANDIKA 2-1 PRISONS IKIWA PUNGUFU….KASI YA MSUVA ‘HAKUNAGA’!

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam 0712461976 WANAJANGWANI, Dar Young Africans wameitandika 2-1 Tanzania Prisons katika mechi ya raundi ya pili ya ligi kuu soka Tanzania...

Kagera Sugar ‘imelamba dume’ kumsaini Juma Kaseja

Na Baraka Mbolembole NIMEPENDEZWA sana na usajili wa golikipa bora zaidi Tanzania katika 'karne mpya,' Juma Kaseja ambaye amejiunga na kikosi cha Kagera Sugar FC...

BONY SAWA, LAKINI CITY NI DHAIFU BILA AGUERO.

Na Simon Chimbo Kuna usemi uliozoeleka kwamba, 'hakuna mchezaji mkubwa kuliko timu'. Kauli hii husemwa kumaanisha umuhimu wa klabu dhidi ya mtu mmoja mmoja. Lakini...

Chelsea msimuite Lukaku msaliti, tazameni mwanya huu uliotumiwa na ‘Mashetani’

Na Salym Juma, Arusha Tar 6 July 2017 ilikuwa siku nzuri kwa ‘Mashetani’ kwani walifanikiwa kunasa saini ya bidhaa adimu kwa sasa ulimwenguni. Kumpata mtu...

RIPOTI MAALUM: VIWANJA VYA SOKA TANZANIA SI SALAMA

Intro: Licha ya kuidhinishwa kutumika kwa mashindano mbalimbali ya mpira wa miguu nchini, viwanja hivyo havikidhi vigezo vya usalama vya Fifa. Na Sanula Athanas, Dodoma WAKATI...

Hans van der Pluijm ni ‘mkuki’ ulioingia katika kifua cha wana Yanga, kocha mpya...

Na Baraka Mbolembole Nani mshauri wa Yusuph Manji? Katika dunia ya soka 'makocha wanaajiriwa na kufukuzwa, na wakati mwingine wanajiuzulu kwa sababu kadha wa kadha.'...

MAMBO MATANO KWANINI BORUSSIA DORTMUND VS BAYERN MUNICH NI 50% VS 50%

Na Athumani Adam Zimesalia mechi takribani kumi kwenye ligi ya bunsesliga, leo tutaona mchezo mgumu ambao unakutanisha timu mbili ambazo zipo juu ya msimamo wa...

STORY KUBWA