Makala

Home Makala Page 4

Stars itapigwa nyingi vs Uganga kwa beki ya Banda/Mbonde, Samatta ni namba kumi…’

Na Baraka Mbolembole WAKATI alipokutana na waandishi wa habari kwa mara ya kwanza baada ya kutangazwa rasmi kubeba mikoba ya kuiongoza timu ya Taifa ya...

Rekodi 8 ambazo Messi bado hajavunja: CR7 kizingiti kwenye rekodi 3

Lionel Messi ametimiza mechi 600 akiwa na FC Barcelona Jumamosi iliyopita wakati Barca walipoifunga Barcelona 2-1 katika La Liga. Tayari ameshavunja na kuweka rekodi...

MO unaposherekea mtoto, kumbuka hata Guardiola anachanganyikiwa kuamua nani acheze

Kupitia ukurasa wake wa instagram (mohammedibrahim04) jamaa amepost picha akiwa na kitoto na kuandika “My baby boy” huyu ni kijana wake wa kiume ambaye...

CR7 to Juventus: Ni siasa za Mendes kutaka malipo makubwa au kweli anaondoka...

Kila unapofika wakati wa usajili suala la Cristiano Ronaldo kuhusishwa na kuondoka Real Madrid huwa linatawala vichwa vya habari. Kwa muda wa miaka 9...

Sababu 5 kwanini Barca anaweza kugeuza matokeo na kufuzu vs Juventus

Barcelona wanahitaji historia nyingine leo usiku ili kuendelea kubaki katika michuano ya ulaya - ni ngumu lakini kuna sababu za kuamini kwamba kikosi cha...

Jezi ya Rashford ni nzito sana

Moja ya wachezaji wakubwa kuwahi kuvaa jezi namba 10 pale Old Trafford ni Dennis Viollet, mmoja mashujaa wa Sir Matt Busby's "Babes" Kuna baadhi ya...

Mbongo anayekipiga Zimbabwe afunguka anavyoteseka

Hivi majuzi kuna kijana mmoja alinitafuta akanielezea baadhi ya changamoto ambazo amekutana nazo hivi karibuni. Anaitwa  Dominicusius Kuhanga,  ana umri wa miaka 17. Kwa...

Kwa sababu hizi ‘piga ua’ jiandaeni kumuita Lacazette mchawi wa magoli pale Emirates

Na Salym Juma, Arusha Jezi namba 9 ndiyo iliyokabidhiwa kwa mshambuliaji mpya wa Arsenal aliyesaini mkataba  wamiaka 5 mnamo July 5, 2017. Sitopenda kuizungumzia jezi hii...

Mourinho Vs Guardiola: niliyaona haya kitambo

Makala hii niliandika tarehe 31 mwezi wa kwanza mwaka 2016. Nilichokiona kwenye akili yangu kuwa kama Mourinho na Guardiola watakuwa ligi Moja basi tutarajie wao...

Wachina wanavyoliamsha dude lilolala – AC Milan

Soka la ushindani linarejea tena Italia - Juventus wamepata changamoto mpya ambayo inakuja katika shape ya 'mwamba uliolala' kama AC Milan ambao wapo katika...

Sio Abdi Banda pekee, hawa hapa mabeki wasio na sifa ya ‘kubutuabutua’ barani Ulaya

Na Salym Juma, Arusha Wanasoka wengi wamezoea kuwaona mabeki wa kati wakiosha ‘kubutua’ hasa linapokuja suala la timu zao kushambuliwa. Jambo hili limekuwa la kawaida...

Jicho la 3: ‘Si Mkopi na Buswita tu, haki ingetendeka kama TFF ingezifungia kusajili...

Na Baraka Mbolembole MOHAMED Mkopi alifungiwa kucheza soka kwa muda wa mwaka mmoja kutokana na kosa la kujisajili Mbeya City FC wakati angali bado na...

Usajili wa Neymar PSG: Qatar, Siasa za Mashariki ya kati, biashara zilivyochangia uhamisho wa...

Ulimwengu wa soka unasubiri kwa hamu kukamilika kwa uhamisho wa mshambuliaji wa kibrazil Neymar kutoka FC Barcelona kwenda Paris Saint Germain (PSG) kwa adabya...

Mchezaji asiye zungumzwa, tuna-enjoy show zake za kibabe

Na Baraka Mbolembole "Jitumeni uwanjani kama Said Juma Makapu mfanikiwe." MIEZI 30 iliyopita wakati Said Juma Makapu aliposajiliwa na kocha Hans van der Pluijm na...

Simba hawajui wako wapi, walipotoka na wanapokwenda, kamati ya usajili itaendelea kuwaangusha

Na Baraka Mbolembole WAKATI wa usajili wa dirisha kubwa katikati ya mwaka huu nilikosoa waziwazi usajili wa klabu ya Simba SC na kusema, saini za...

Kwenye sanduku la Ballon d’Or kura za Salah zitalindwa kweli?

Hakuna kitu kinachotafuna nyoyo za watu kama chuki na unafiki. Walio wengi hawapendi ukweli wa kile wasichokipenda uzidi kudumu. Tukiachilia ushabiki wetu na unazi...

Messi, Ronaldo, Neymar na wachezaji wengine 55 walio kwenye hatari kukosa robo fainali kutokana...

Ni rahisi sana kupata kadi ya njano katika soka siku hizi hasa baada ya kutambulishwa kwa sheria mpya ya matumizi ya Video Assistance Referee...

‘Kiroho safi, Mzee Kilomoni kaondoe kesi mahakamani, iache Simba iende inapotakiwa…

Na Baraka Mbolembole ILI kufikiriwa kusamehewa na wanachama wengi wa klabu, kwanza Mzee Hamis Kilomoni anapaswa 'kutokwa' na mawazo yake kuwa 'hawezi kuondolewa' katika nafasi...

Sababu kwanini Juve wamemuuza Bonucci, kisa cha kuzikataa Chelsea & Man City 

Uhamisho wa Leonardo Bonucci kutoka Juventus kwenda AC Milan kwa ada ya uhamisho wa 40 million euros ni moja ya biashara iliyoistua ulimwengu wa...

Wamemkatili Ozil kama msaliti lakini dunia inamtazama kama shujaa

"Nimezaliwa na kukulia Ujerumani, kwanini watu hawaniheshimu kama mjerumani mwenzao"Ozil Özil ana asili ya Turkish-German . Hajawahi kukana asilia yake, wala haoni aibu kusifia asilia...
473,643FansLike
169,928FollowersFollow
72,600FollowersFollow