Sunday, September 23, 2018

Makala

Home Makala

Marcus Rashford: Shujaa Mpya Old Trafford Aliyevunja Rekodi ya George Best

Marcus Rashford alikuwa shujaa ambaye hakutabiriwa usiku wa Alhamisi dhidi ya FC Midtjylland, akifunga magoli mawili katika mechi yake ya kwanza ya kikosi cha...

MSN Is On Fire: Yazipita timu zaidi ya 90 Ulaya Kwa Ufungaji Msimu Huu...

Vijana watatu wa Ki-Amerika ya Kusini wa klabu ya BARCELONA Lionel Messi, Luis Suarez and Neymar wameendelea kuweka rekodi tofauti za ufungaji kila wanapocheza. Mpya...

Juve vs Bayern: Guardiola na Jaribio la kuondoka na Heshima ya kushinda Champions League

Pep Guardiola ana mtihani mzito wa kuendelea kuipa uhai ndoto yake ya kumaliza utawala wake na Bayern Munich kwa kushinda ubingwa wa ulaya. Leo Jumanne,...

Rekodi 20 za Champions League Ambazo Messi na Ronaldo bado hawajazivunja

Katika kipindi cha miaka 10 iliyopita, Lionel Messi na Cristiano Ronaldo wamekuwa na ushindani mkubwa ambao umepelekea wawili hao kujitengenezea nafasi katika listi ya...

Mambo Unayohitaji Kuyafahamu kuhusiana na FC Midtjylland inayocheza na Man United.

MANCHESTER UNITED wanajiandaa kuanza kampeni yao ya michuano ya Europa League usiku aa leo, baada ya kuondolewa kwenye michuano ya Champions League. Louis van Gaal...

Ronaldo: Ni muda sahihi auzwe au aendelee kubaki Madrid?

Mnamo mwezi wa sita 2015 mtandao mmoja wa michezo wa Spain ulitoa fursa kwa wasomaji wake kupiga kuhusu uwezekano wa Real Madrid kumuuza Cristiano...

SOKA LA LEO HALIMUHITAJI JOHN OKELLO

Na Athumani Adam Tumeendelea kuwa nyuma ya wakati, maendeleo ya viwanda maarufu kama ‘industrial revolution’ wenzetu wa Ulaya walianza kufanya tangu karne ya 18, sisi...

PEP GUARDIOLA YUPO CITY KWENYE MBUYU WAKE

Na Athumani Adam Ni hulka ya binadamu kuhama kutoka sehemu moja kwenda nyingine kwenye maisha. Ndiyo kitu ambacho kimetokea kwa kocha mkuu wa Bayern Munich...

SABABU ZINAZOINYIMA ARSENAL UBINGWA MSIMU HUU

Arsenal ni moja ya Klabu zinazopewa nafasi kubwa ya kuinyakuwa ndoo ya EPL msimu huu japokuwa kiwango cha hivi karibuni kinatia mashaka kama klabu...

MR. CHAIRMAN HOTUBA YAKO HAINA ‘FAIR PLAY’

Wakati shirikisho la mpira wa miguu  duniani FIFA lina hamasisha wadau wa mchezo wa soka kuhusu vitendo vya kiungwana mchezoni yaani ‘Fair Play’, wiki...

STORY KUBWA