Saturday, September 22, 2018

Makala

Home Makala

Kitakachotokea kwenye kufuzu Europa – ikiwa Liverpool watafungwa fainali ya Europa na Sevilla 

West Ham na  Liverpool wanaweza kujikuta wanapambana kwenye mchezo wa play off wa kugombea kufuzu kucheza Europa League. Wagonga nyundo wa London wanashika nafasi ya...

TUNATAKA NYUMBA IMARA KWA MSINGI WA UDONGO MFINYANZI

Nilipokua mwanafunzi wa shule ya msingi sikuwahi ona umuhimu wake mpaka nilipo hitimu.Ungeniuliza kipindi hicho kwanini nasoma shule ya msingi,Nisingekua na jibu la kukupa.Nilikua...

Wachezaji 10 wakigeni VPL sio ishu, ishu inaanzia hapa…!

Rais wa TFF Wallace Karia ametoa ufafanuzi juu ya kilichopelekea TFF kufanya marekebisho ya kanuni za ligi kuu ikiwa ni pamoja na kjongeza kioengele...

VAN PLUIJM: ‘CHA KWANZA NI KUFUNGA, CHA PILI, HAWATAKIWI KUPATA GOLI, MAMBO HAYA YATATUBEBA’

Na Baraka Mbolembole "Tumejiandaa ipasavyo kwa wiki nzima na kila mchezaji yuko katika hali nzuri ya kukabiliana na Al Ahly. Ni timu ambayo ni imara...

SIMBA WANAWEZA KUIFUNGA POLISI MORO LEO….LAKINI WASIINGIE KICHWA-KICHWA

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam 0712461976 SIMBA SC inawakosa wachezaji wanne muhimu katika mechi yake ya pili, ligi kuu soka Tanzania bara inayopigwa leo jioni...

Magoli 500 ya Messi: Uchambuzi wa kinamba, aliyempa assists nyingi zaidi, timu alizozifunga zaidi...

Lionel Messi jana usiku alitimiza magoli 500 tangu alipoanza kucheza soka la ushindani, wakati Barcelona ilipofungwa 2-1 nyumbani na Valencia.  Hii ni rekodi mpya kwa...

MIKASA YA LIGI YA TANZANIA (Part III)

Na Zaka Zakazi Mwaka 1967 ulikuwa msimu wa tatu wa ligi ya taifa yaani mashindano ya kutafuta klabu bingwa ya taifa. Msimu huu ulishuhudia mabadiliko makubwa....

ACHA NIMPELEKA MAMADOU SAKHO KWA WENGER

Na Athumani Adam Chanzo kimoja cha kimataifa kimeripoti kwamba shirikisho la kupambana na madawa michezoni (Wada) hawatokata rufaa kupinga uamuzi wa shirikisho la mpira wa...

IJUE STORY YA MICHEL PLATINI EURO 1984

Na Naseem Kajuna Katika jua kali la muda wa majira 1984, Michel Platini alikuwa kijana mdogo mwenye miaka 29. Ilikuwa rahisi kumtambua Platini kwa sababu...

Majibu ya Haji Manara kwa Mchambuzi ‘asiyejulikana’

NI HARAAM KUMUUACHIA MTU HUYU!! Na HAJI S. MANARA Salaam Kiasili Haji Manara sio mtu dhaifu anayeweza kukalia kimya shutuma zinazokuja kwake binafsi au taasisi anayoingoza na...

STORY KUBWA