Makala

Home Makala Page 3

Mo aliwapa sabuni lakini akawapaka matope

Priva ABIUD Ndugu zangu wa Msimbazi mtanisamehe kidogo. Niwaambieni kitu. Kiki haziumbi kipaji ila zinajenga jina. Nina mawazo tofauti na kauli ya Mo Dewj aliyoitoa...

Top 10 ya wachezaji wenye ndege binafsi za ghali, CR7 kiboko

Orodha ya wachezaji wanaomiliko ndege za gharama duniani imetoka, kama ambavyo wengi walitarajia CR7 anaongoza orodha ya wachezaji wenye ndege za gharama kubwa duniani. Cristiano...

Jicho la 3: Kwa nini 4-5-1 itawamaliza Waarabu? Kessy, Msuva katika wings, Abdul, Oscar…

Na Baraka Mbolembole KUJIONDOA kikosini kwa kiungo-mshambulizi, Mzambia, Obrey Chirwa kuelekea mchezo wa Caf Confederation Cup siku ya Jumamosi hii sidhani kama ni tatizo katika...

Chelsea msimuite Lukaku msaliti, tazameni mwanya huu uliotumiwa na ‘Mashetani’

Na Salym Juma, Arusha Tar 6 July 2017 ilikuwa siku nzuri kwa ‘Mashetani’ kwani walifanikiwa kunasa saini ya bidhaa adimu kwa sasa ulimwenguni. Kumpata mtu...

Ngasa anaweza kendelea kuibeba Yanga, lakini ni usajili wa Lwandamina au kina Mr. Kazinyingi?

Na Baraka Mbolembole USAJILI wa Mrisho Ngasa kutoka Mbeya City FC na kujiunga Yanga SC unaweza 'kufurahiwa' wanachama/wapenzi wengi wa mabingwa hao wa kihistoria Tanzania...

Majibu ya Haji Manara kwa Mchambuzi ‘asiyejulikana’

NI HARAAM KUMUUACHIA MTU HUYU!! Na HAJI S. MANARA Salaam Kiasili Haji Manara sio mtu dhaifu anayeweza kukalia kimya shutuma zinazokuja kwake binafsi au taasisi anayoingoza na...

Urudishiwe unahodha wako, Mkude ‘mwalimu wako’ mzuri ni James Kotei, kama Makapu alivyomfunza Telela

Na Baraka Mbolembole WAKATI mbinu za kocha Hans van der Pluijm zilipoanza ‘kukubali’ mwanzoni mwa mwaka 2015, uchezaji wa haraka haraka huku akipiga pasi na...

Baada ya Yanga 1-1 Simba, kikosi kipya cha Lwandamina kinaweza kutwaa VPL nyingine 2...

Na Baraka Mbolembole KIWANGO cha juu kutoka kwa kocha Mzambia, George Lwandamina katika machaguo ya wachezaji, mbinu na usomaji wa mchezo kumempa 'heshima kubwa' kocha...

Dar es Salaam-Pacha: Endelea kuiogopa Yanga, hatari ya Simba ni Kwasi na Gyan

Na Baraka Mbolembole LICHA ya kuachwa pointi 11 na viongozi wa ligi-mahasimu wao Simba SC, mabingwa watetezi Yanga SC wataendelea kuwa tishio kwa kikosi cha...

Pogba na mbinu mbovu za Mourinho zilivyoisadia Spurs

Manchester United wana tatizo juu ya Paul Pogba. Ni mchezaji muhimu ambaye bila uwepo wake ni shida, lakini pia anayefanya maisha kuwa magumu kwa...

Madhaifu na ubora wa Hazard, Neymar na Mbappe kwenye kuziba pengo la Ronaldo

Real Madrid wanahaha sana kujua nani anafaa kuvaa viatu vya Ronaldo. Wameondokewa na mchezaji bora zaidi kuwahi kutokea katika ardhi ya Ureno. Atakumbukwa pale...

Jicho la 3: Sababu 4 muhimu ambazo zinawabeba Yanga kuelekea taji la 3 mfululizo VPL

Na Baraka Mbolembole MICHEZO  kumi  kuelekea  mwisho  wa  msimu  wa ligi kuu Tanzania bara 2016/17  mabingwa  watetezi  Yanga  SC  wamerejea  katika kilele  cha msimamo  wakiwa na alama  46  baada  ya kucheza  game 20. Kikosi  cha  Mzambia, George  Lwandamina  na  wasaidizi  wake  Juma Mwambusi  na kocha  wa makipa  Juma  Pondamali  kitacheza  na  Stand United  siku  ya Kesho  Ijumaa na ushindi  uwafanya  watengeneze  gepu  la pointi  nne  zaidi  dhidi  ya  wapinzani  wao  wa  karibu  Simba SC  ambao watacheza na...

Tusimnafikie Iniesta huku tunamkebehi Salah

Iniesta amemaliza na Barcelona. Yupo sahihi kabisa. Barcelona ipo hivyo. Wana fadhila lakini hawana huruma. Umri ukienda hata kama kiwango chako ni kikubwa lazima...

Ushahidi wa kitakwimu unaonyesha Pogba ni zaidi ya Kante

Umekuwa mwaka wa matukio mengi kwa kiungo wa Manchester United - Paul Pogba. Jambo la kwanza lilimuhusisha na biashara iliyochukua muda mrefu zaidi wakati wa...

Ifahamu zaidi Baroka FC, timu iliyomsajili Abdi Banda wa Simba 

Na Salym Juma, Arusha Nikinukuu kauli ya Abdi Banda katika maandishi kwamba, wachezaji wajitume na wanatakiwa kuwa makini na nafasi, hasa zinapotokea nafasi za kutoka...

Mourinho akiona kunguru wamepungua mtaani, nyama za kuku ni nyingi na zimeshuka bei awe...

Bila shaka hakuna tena haja ya kumuongelea Mourinho kwa namna nyingine zaidi ya kusema "Ele precisa descansar" (Kireno) Yaani anahitaji kupumzika kidogo. Arudi tena...

Njaa na Kilio cha Neymar, Shibe ya Kulevya ya Messi na Iniesta

Wakati mchezo kati ya Barcelona dhidi ya Juventus ukiendelea wengi walikuwa wanatizama na kusikiliza filimbi ya mwamuzi Bjorn Kuipers itaaamua nini. Wengi walikuwa wanasubiri...

Katika umri wa miaka 24, Ulimwengu anakwenda wapi baada ya kuondoka Sweden?

Na Baraka Mbolembole JUNI 14, 1993 ndiyo alizaliwa Thomas Ulimwengu mahala mkoani Dodoma. Miaka 14 baadaye alikuwa sehemu ya wachezaji vijana U17 ambao walijumuhishwa katika...

Usajili: Man Utd imetumia mara 14 ya Bajeti ya mwaka ya Wizara ya Michezo...

Klabu ya Manchester United jana usiku ilitangaza kufikia makubaliano na klabu ya Benfica juu ya uhamisho wa beki Victor Lindelof kwa ada ya uhamisho...

Labda ‘tabia yake’ itawapa ubingwa Yanga msimu huu, si kwa mbinu za Lwandamina na...

Na Baraka Mbolembole KATIKA michezo miwili waliyokusanya pointi nne mjini Njombe na Songea, timu ya Yanga haikuonekana kucheza vizuri  huku safu ya kiungo ikionekana ‘kuchemka’....
473,565FansLike
169,928FollowersFollow
72,120FollowersFollow