Makala

Home Makala Page 3

TFF, MALINZI NA AZAM, WATANZANIA WANAYO MIGUU YA KUYAFUATA MAJI.

Shule ni ngumu sana,  na wanaoifanya kuwa ngumu zaidi ni wale walioamua kutufanya tukubaliane na Hali kuwa elimu haina mwisho. Hilo ndo haswaa jambo...

MANCHESTER UNITED: NAOMBA TUENDELEE NA SAFARI YA IBIZA

Mchezaji wa Kiingereza katika klabu ya Arsenal ambaye pengine ana kila sababu ya kuwemo kikosini siku zote ni Aaron Ramsey, huyu naye ni raia...

Takwimu Hii Inaonyesha Van Gaal Anastahili Kuondoka Man United.

Manchester United ipo kwenye anguko, staili ya soka lao haivutii na pia timu haipati matokeo mazuri pamoja na uwezekazeji mkubwa uliofanyika. Takwimu zilizotolewa leo zinaonyesha...

YANGA MNAMENYEA NDIZI VYUMBANI?

NI nadra sana kushuhudia kipaji kama cha Haruna Niyonzima kwa wachezaji wengi butu wa kigeni wanaosajiliwa Tanzania. Lakini si nadra kuona vipaji hivi vikigeuka...

FARID MUSSA,  UNAPENDA RANGE ROVER?

Michezo imehama muda sana kutoka kwenye hali ya kuwa kitu cha kujifurahisha nacho na kuburudisha, na sasa imekuwa biashara inayohitaji uwekezaji sahihi. Bidhaa ni...

Mkosi wa Stoke City: Man UTD na City Zisahau Ubingwa, Arsena au Leceister Kutwaa...

Vilabu vya ARSENAL, Leicester au Tottenham - moja ya kati ya vilabu hivi inaweza kuwa bingwa wa ligi kuu ya England kama historia itakuwa...

IBRAHIM AJIB,  WEWE NI NANI NA NI YUPI? 

Hakuna siku ambayo dunia imewahi kushuhudia mvua ya maua waridi, lakini kwa sababu ni moja ya maua yanayohitajika sana namna pekee ya kuendeleza upatikanaji...

HISTORIA YA MIAKA 24 YA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA CAF

Tuzo za mchezaji bora wa mwaka za CAF zinatimiza miaka 24 mwaka huu tangu kuanzishwa kwake ambapo leo January 7, 2016 sherehe za ugawaji...

SAMATTA CHUKUA POCHI YA KATUMBI USIITAMANI KALAMU YAKE

Katumbi ni mtu wa pili kwa umaarufu na nguvu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Anazidiwa kwa kiasi kidogo sana na Rais wa nchi...

ZIDANE TIZAMA NYUMA YA MIWANI YA PEREZ NA MIGONGO YA MASHABIKI BERNABEU.

Muasisi wa Taifa hili, hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere alifariki dunia 1999 Oktoba 14. Huu ulikuwa takribani mwaka mmoja tangu Zinedine Zidane atwae taji...

EXCLUSIVE: PAUL NONGA AFICHUA SIRI ILIYOFICHIKA NYUMA YA JEZI NAMBA 26 NI BAADA YA...

Shaffihdauda .co.tz: Umebadilisha mazingira kutoka Mwadui FC kwenda Yanga SC, hii inaweza kuwa changamoto kwako, umejipangaje kuhakikisha unapata nafasi ya kucheza kwenye kikosi cha...

POLE MOURINHO, LABDA ANGEKUWEPO TRUMAN..

Nilikuwa natizama mchezo wa Chelsea dhidi ya Sunderland,  huu ulitoa picha kamili ya nini kimeendelea pale katika klabu ya Chelsea. Mashabiki walitoa ya moyoni, ...

MCHEZAJI MWENYE MKONO MMOJA AFUNGA KIKAPU CHAKE CHA KWANZA KWENYE MASHINDANO YA VYUO YA...

Mungu ndiye mwamuzi ya yote, Mungu ndiye mpangaji na yeye ndiye mpaji. Kijana anayesoma katika chuo cha Florida Zach Hodskins lazima anauishi usemi huu....

KWAHERI PEP GUARDIOLA, WALAU SASA HIVI UMEKUNA KICHWA KWA NGUVU….

Kuna baadhi ya vitu ambavyo kama mwanadamu inabidi uvikumbuke sana, na ni muhimu kumshukuru Mungu kuwa ulipata kuvishuhudia. Mojawapo ni kuona Sir Alex Ferguson...

ALAMSIKI LEICESTER CITY, MAISHA HAYAJAWAHI KUWA YA USAWA.

Kuna jambo moja tu ambalo maandiko ya kidini na maandiko ya kisayansi yamekubaliana, nalo ni usiku na mchana.  Kila mmoja anasema kivyake lakini wote...

NIMEMUELEWA NAPE, HATA JAPAN WAMEFANIKIWA

Na Shaffih Dauda YOKOHAMA, Japan Nianze kwa kuweka wazi kuwa nimemkubali sana Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye kwa wazo lake la kufanya...

TUANZIE WAPI ILI KUWAPATA SAMATTA, ULIMWENGU, KWA AJILI YA TAIFA STARS YA KESHO?

Na Wilfred Kadege, Dar es Salaam Habari zenu wanajamii wa kitanzania hasa wale wapenda soka. Nimekaa nikafikiri sana na kupata muarobaini ambao ukitumika ipasavyo kwa...
472,449FansLike
1,438,086FollowersFollow
67,323FollowersFollow

Instagram