Tuesday, October 17, 2017

Makala

Home Makala

Jembe la Azam linavyoipalilia Yanga

Na Thomas Ng'itu Wakati wa dirisha kubwa la usajili lilipokuwa linaendelea mwezi uliopita, nilikuwa najiuliza kwa nini Yanga wang'ang'anie kuwa Gadiel Michael ni mchezaji wao,...

UCL: Mourinho ataweza kuutafuna mfupa wa Basel uliomshinda Ferguson?

Baada ya miaka miwili Hatimaye Manchester United usiku wa leo wanarejea tena katika usiku wa ulaya, wakifuzu kupitia mlango wa ubingwa wa UEFA Europa...

#UCLIsBack: Rekodi za CR7, Messi, Barca Liverpool walizoweka kwenye hatua ya Makundi

Kuelekea hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa wa ulaya inayoanza kesho - tuangalie rekodi mbalimbali zinahusu hatua hiyo ya michuano hii mikubwa zaidi...

Mwadini endelea kuvuta mshahara wa Azam ukiwa benchi au ingia kwenye darasa la Manyika

Tayari klabu ya Azam imecheza mechi mbili za kwanza za ligi kuu Tanzania bara na kumshuhudia golikipa mkongwe wa klabu hiyo Mwadini Ali akiwa...

Ibrahim Mo atamfukuzisha  kazi Omog pale Simba

Na  Baraka Mbolembole KATIKA uchambuzi wa kwenye makaratasi, Simba SC walionekana kuwa na kikosi cha ‘kutisha’ na tena walikuwa na wachezaji wengi ‘maarufu’ kuliko Azam...

Bato ya viungo, halijawaacha Azam na Simba salama

Na Thomas Ng'itu Achana na matokeo ya sare ya bila kufungana dhidi ya Azam na Simba,jambo kubwa lililokuwepo katika mchezo huo ni bato la aina...

Ni mechi ya kudhihirisha au kupotea kwa Azam FC

Na Zaka Zakazi Msimu mpya wa Ligi Kuu 2017/18 umeshaanza na leo unaingia katika raundi yake ya pili. Kwa mara ya kwanza tangu msimu wa...

Ni ngumu washambuliaji wa Simba kuifunga Azam FC yenye beki ya kimataifa

Na Baraka Mbolembole SIMBA SC inahitaji safu ya mashambulizi kujiamini dhidi ya safu ya ‘ulinzi ya kimataifa’ ya Azam FC wakati timu hizo zitakapopambana katika...

Wanarudi Chamazi kama Wageni

Thomas Ng'itu Katika safari ya maisha ya mpira huwa kuna vipindi vya usajili, vipindi hivi ndivyo wachezaji huwa wanaamua jinsi ambavyo maisha yao yatakavyokuwa kutokana...

African Lyon bado ipo ligi kuu

Na Thomas Ng'itu KLABU ya African Lyon inayomilikiwa na Mkurugenzi machachari Rahim Kangezi ‘Zamunda’, imeshuka daraja lakini ni bado ipo katika ligi kuu baada ya...

STORY KUBWA