Saturday, September 22, 2018

Makala

Home Makala

Nenda Ally Yanga, nenda, hakika jasho lako halitasahaulika kwenye jezi ya Yanga

Abdul Dunia NENDA Ally Yanga. Nenda Ally Yanga. Nenda Ally Yanga. Msinishangae kurudia kwangu kauli hiyo zaidi ya mara tatu. Soka limekumbwa na huzuni kubwa...

PEP GUARDIOLA YUPO CITY KWENYE MBUYU WAKE

Na Athumani Adam Ni hulka ya binadamu kuhama kutoka sehemu moja kwenda nyingine kwenye maisha. Ndiyo kitu ambacho kimetokea kwa kocha mkuu wa Bayern Munich...

ZIMEBAKI MECHI SABA, LEICESTER BADO KICHOMI TIMU NYINGINE ZIMEENDELEA KUFANYA MAKOSA YALEYALE

Na David Wambura Lazima niweke wazi mimi ni kati ya wale walikua hawaipi nafasi Leicester kuchukua ubingwa bado sijabadili mtazamo wangu naamini wanaweza jikwaa kama...

WENGER NA AZIMIO LA ARUSHA

Azimio la Arusha si neno geni kwa Watanzania.Wengi wao tumelisikia kama hatukusoma...

KAGERA SUGAR MRUDISHENI MAYANJA…

Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam Makocha wana ajiriwa ili kufukuzwa kazi. Wengi tunaamini kuwa ili kocha aweze kudumu katika timu moja kwa muda mrefu...

KUTOKA OUAGADOUGOU, 2007 HADI N’DJAMENA, 2016, ERASTO NYONI AMEANZA MECHI ZOTE 40 STARS, ANAFUNDISHA…

Na Baraka Mbolembole Unajifunza nini kutoka kwa kiungo-mlinzi wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) na klabu ya Azam FC? Mechi yake ya 40...

SAMATTA CHUKUA POCHI YA KATUMBI USIITAMANI KALAMU YAKE

Katumbi ni mtu wa pili kwa umaarufu na nguvu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Anazidiwa kwa kiasi kidogo sana na Rais wa nchi...

Tupa kule akina Pogba na Mbape, tazama majembe yaliyostaili zaidi ya €95 ila bahati...

Na Salym Juma, Arusha Dunia ya soka imeelekeza macho kwenye usajili huku Magazeti na Blog mbalimbali ikitawaliwa na tetesi za usajili pamoja na taarifa kamili...

AZAM FC V YANGA ‘ATAKAYEFUNGWA AMEKWISHA’

Na Baraka Mbolembole Ligi kuu Tanzania Bara inaelekea mzunguko wake wa 21 mwishoni mwa wiki hii kwa timu zote 16 kupambana katika kusaka alama tatu...

YANGA SC V SIMBA SC, MSHINDI HUYU HAPA

Na Baraka Mbolembole Thaban Kamusoko ndiye mchezaji bora zaidi kuelekea mchezo wa kesho Jumamosi kati ya 'Watani wa Jadi' na ' Wapinzani Wakuu' wa kandanda...

STORY KUBWA