Makala

Home Makala Page 2

“MZEE WENGER ATAKAPOKUWA SHAHIDI WA MANENO YA ERIC THOMAS PALE CATALUNYA” 

Mwanafilosophia na mwanauchumi Eric Thomas aliwahi kutoa kauli yake moja maarufu (quote) akisema "winners focus on winning, losers focus on winners" akimaanisha washindi...

DELE ALLI KARIBU CHAKULA CHA JIONI

Na Gascoigne Brian Wakati mwingine kila nikiangalia mshale wangu wa saa muda unazidi sana kwenda kasi sijui ni wa sekunde au wa dakika ndio unaoanza...

‘MA-NAHODHA WATANO’, HANS ANABEBWA NA MASTAA WAKE VIONGOZI NDANI YA UWANJA

Na Baraka Mbolembole MIAKA 9 mfululizo kama mchezaji wa timu ya Taifa ya Rwanda 'Ammavubi,' kiungo mchezesha timu Haruna Niyonzima tayari ameiwakilisha nchi yake mara...

SAFARI YA DAUDA KUTOKA FIFA HADI GENK KWA SAMATTA (PART II)

Safari ya Dauda kutoka FIFA hadi Genk kwa Samatta inaendelea, Part I iliishia pale tayari tumeshafika nyumbani kwa Samatta na tumemlipa dereva tax euro 15,...

MAGOLI 39 YA BOCCO, MAGULI, JEREMIAH, AJIB, BADO UNAMLAUMU MKWASA?

Na Baraka Mbolembole Washambuliaji wanne kati ya 6 walioitwa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) wamefunga jumla ya magoli 39 katika ligi kuu ya...

BOCCO AMEZALIWA KUZIFUNGA YANGA/SIMBA, NI MSHAMBULIZI MKALI ZAIDI AMBAYE HAJATOKEA

Na Baraka Mbolembole Mechi yake ya kwanza tu kukutana na Yanga SC alifunga bao, na kufikia mechi ya 16 ya ligi kuu Azam FC dhidi...

Real Madrid vs AS Roma: Madrid kuvunja mwiko dhidi ya Waitaliano na Kufuzu Robo...

Real Madrid CF inakutana na AS Roma leo katika mchezo wa pili wa raundi ya 16 bora wakiwa wameshaingiza mguu mmoja ndani kwenye robo...

Taji la ‘Comeback Kings’ sasa lipo mikononi mwa Barcelona 

FC Barcelona wanaongoza ligi kwa pointi 8 mbele ya Atletico Madrid wanaoshika nafasi ya pili na pointi 12 mbele ya wapinzani wao wakubwa Real...

HASSAN ISIHAKA, ‘NAHODHA MTOTO’ ALIYESHINDWA KUWA VICTOR COSTA MPYA SIMBA SC

Na Baraka Mbolembole Walinzi wangapi namba 5 wakali umewahi kuwaona Simba SC? Siwezi kuzungumza kuhusu George Masatu mmoja wa 'ma-libero' wanaotajwa kuwa mahiri zaidi kuwahi...

MANARA AMESHINDWA NJE YA UWANJA, AKASHINDWA UWANJANI NA ATASHINDWA ANAKOTAKA KWENDA

Na Baraka Mbolembole Njia pekee ya kutosikia 'maneno ya kejeli na najisifu' ya Mkuu wa kitengo cha habari wa klabu bingwa nchini, Jerry Muro ni...

Marcus Rashford: Shujaa Mpya Old Trafford Aliyevunja Rekodi ya George Best

Marcus Rashford alikuwa shujaa ambaye hakutabiriwa usiku wa Alhamisi dhidi ya FC Midtjylland, akifunga magoli mawili katika mechi yake ya kwanza ya kikosi cha...

MSN Is On Fire: Yazipita timu zaidi ya 90 Ulaya Kwa Ufungaji Msimu Huu...

Vijana watatu wa Ki-Amerika ya Kusini wa klabu ya BARCELONA Lionel Messi, Luis Suarez and Neymar wameendelea kuweka rekodi tofauti za ufungaji kila wanapocheza. Mpya...

Juve vs Bayern: Guardiola na Jaribio la kuondoka na Heshima ya kushinda Champions League

Pep Guardiola ana mtihani mzito wa kuendelea kuipa uhai ndoto yake ya kumaliza utawala wake na Bayern Munich kwa kushinda ubingwa wa ulaya. Leo Jumanne,...

Rekodi 20 za Champions League Ambazo Messi na Ronaldo bado hawajazivunja

Katika kipindi cha miaka 10 iliyopita, Lionel Messi na Cristiano Ronaldo wamekuwa na ushindani mkubwa ambao umepelekea wawili hao kujitengenezea nafasi katika listi ya...

Mambo Unayohitaji Kuyafahamu kuhusiana na FC Midtjylland inayocheza na Man United.

MANCHESTER UNITED wanajiandaa kuanza kampeni yao ya michuano ya Europa League usiku aa leo, baada ya kuondolewa kwenye michuano ya Champions League. Louis van Gaal...

Ronaldo: Ni muda sahihi auzwe au aendelee kubaki Madrid?

Mnamo mwezi wa sita 2015 mtandao mmoja wa michezo wa Spain ulitoa fursa kwa wasomaji wake kupiga kuhusu uwezekano wa Real Madrid kumuuza Cristiano...

SOKA LA LEO HALIMUHITAJI JOHN OKELLO

Na Athumani Adam Tumeendelea kuwa nyuma ya wakati, maendeleo ya viwanda maarufu kama ‘industrial revolution’ wenzetu wa Ulaya walianza kufanya tangu karne ya 18, sisi...

PEP GUARDIOLA YUPO CITY KWENYE MBUYU WAKE

Na Athumani Adam Ni hulka ya binadamu kuhama kutoka sehemu moja kwenda nyingine kwenye maisha. Ndiyo kitu ambacho kimetokea kwa kocha mkuu wa Bayern Munich...

SABABU ZINAZOINYIMA ARSENAL UBINGWA MSIMU HUU

Arsenal ni moja ya Klabu zinazopewa nafasi kubwa ya kuinyakuwa ndoo ya EPL msimu huu japokuwa kiwango cha hivi karibuni kinatia mashaka kama klabu...

MR. CHAIRMAN HOTUBA YAKO HAINA ‘FAIR PLAY’

Wakati shirikisho la mpira wa miguu  duniani FIFA lina hamasisha wadau wa mchezo wa soka kuhusu vitendo vya kiungwana mchezoni yaani ‘Fair Play’, wiki...
471,191FansLike
1,421,486FollowersFollow
66,019FollowersFollow

Instagram