Thursday, April 26, 2018

Makala

Home Makala

Madrid Watampiga Chura Teke Au Watamwacha Mwanaharamu Apite?

Real Madrid wanawapokea Atletico Madrid pale Bernabeu. Ni maamuzi yao aidha kutoa nafasi kubwa ya kombe kwa Barcelona na kuwaekeka kwa gwaride la heshima...

Mourinho Vs Guardiola: niliyaona haya kitambo

Makala hii niliandika tarehe 31 mwezi wa kwanza mwaka 2016. Nilichokiona kwenye akili yangu kuwa kama Mourinho na Guardiola watakuwa ligi Moja basi tutarajie wao...

Ukurasa wa Ally Hamad Ally kijana wa Manji mwenye kipaji

"Tatizo kubwa linalokwamisha ligi yetu ni Kwa vilabu Vidogo namna vilabu hivi vinavyofanya kazi. Wachezaji wengi wanakata tamaa kutokana na matatizo ya mishahara. Wakati...

Hivi huyu ‘Boccogoals’ ni ‘jogoo la shamba’, au ‘mfalme’ wa ugenini?

Na Baraka Mbolembole NAHODHA wa Simba SC, John Bocco  alifunga magoli yote mawili ya timu yake katika ushindi wa 2-0 ugenini dhidi ya Njombe Mji...

Kidato cha Sita wamemuona Ronaldo lakini?

Sitaki niongelee ubora wa magoli yake. Sitaki nizungumzie suala la ushindani wake na Messi maana sio la msingi sana. Ronaldo ni mchezaji ambaye kidato...

Mbongo anayekipiga Zimbabwe afunguka anavyoteseka

Hivi majuzi kuna kijana mmoja alinitafuta akanielezea baadhi ya changamoto ambazo amekutana nazo hivi karibuni. Anaitwa  Dominicusius Kuhanga,  ana umri wa miaka 17. Kwa...

ligi yetu ndiye chatu anayeimeza taifa Stars

Nina mapendekezo yangu kadha wa kadha katika kuinua soka la Tanzania. Kwanza naona tuamshe mwamko mkubwa wa watanzania kulipenda soka lao. Tujenge soka la...

Road 2 Russia: Soksi za messi hazinuki tatizo viatu alivyopewa

Tiketi ya Bombardier Ukiachilia mbali taifa la Uingereza ambalo ni taifa lenye mashabiki wenye Viherere sana, kwa mtazamo wangu hapa Afrika Tanzania nasi tumo lakini...

Kutoka Nike mpaka Toyota: Mikataba 31 inayomfanya Ronaldo kuwa mwanamichezo tajiri zaidi duniani

Cristiano Ronaldo ndio mwanamichezo ambaye ana mvuto wa kibiashara kuliko yoyote duniani kutokana na deals nyingi za kibiashara alizonazo nahodha huyo wa Ureno. Kiujumla -...

Zlatan adhulumiwa na Baba, amfukuza Mino Raiola

Sehemu ya nne Leo Beenhakker alisafiri mpaka kunako mji wa Malmo FF. Kabla ya safari ya Sweden akiwa ofisini kwake, mkurugenzi mkuu wa Ajax alifuatwa...

STORY KUBWA