Tuesday, September 25, 2018

Makala

Home Makala

IJUE STORY YA MICHEL PLATINI EURO 1984

Na Naseem Kajuna Katika jua kali la muda wa majira 1984, Michel Platini alikuwa kijana mdogo mwenye miaka 29. Ilikuwa rahisi kumtambua Platini kwa sababu...

Messi, Zlatan, Sanchez, Ozil, Mata na wachezaji wengine 34 ambao watakuwa huru kuanzia January...

Ijumaa ya tarehe 1, December, Lionel Messi atakuwa yupo huru kujadiliana na timu nyingine yoyote kwa ajili ya kujiunga nayo kwa uhamisho huru,...

DRAVKO LOGARUSIC WA SIMBA SC NA MARCIO MAXIMO WA YANGA SC WANAFANANA KWA HILI…..

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam 0712461976 KOCHA wa Simba sc, Mcroatia, Dravko Logarusic ameanza kazi kukinoa kikosi chake kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya...

KAMA NI OMOG UELEKEO WA SIMBA SC NI HUU, MAYANJA+MAYANGA NI BORA KULIKO…

Na Baraka Mbolembole KUZUNGUKA huku na huko kusaka kocha kisha kuangukia kwa Mcameroon, Joseph Omog ni sawa na kushindwa mapema vita ya msimu ujao. Nafikiri Simba...

Barua ya Simba kwenda FIFA ni anguko lao jingine, watashindwa…

Na Baraka Mbolembole INAWEZEKANA ni kweli mlinzi wa kati wa Kagera Sugar FC, Mohamed Fakhi alicheza mchezo wa Kagera 2-1 Simba SC akiwa na kadi...

Ni ngumu washambuliaji wa Simba kuifunga Azam FC yenye beki ya kimataifa

Na Baraka Mbolembole SIMBA SC inahitaji safu ya mashambulizi kujiamini dhidi ya safu ya ‘ulinzi ya kimataifa’ ya Azam FC wakati timu hizo zitakapopambana katika...

KABUMBU KAMA UNALIJUA, UNALIJUA TU, MBELEKO UTAISAHAU!

Vijana wa Coastal Union  walitwaa ubingwa wa kombe la Uhai Na Baraka Mpenja, Dar es salaam 0712461976 KANUNI ya kuwa mchezaji bora wa mpira wa miguu ni...

Kuna Messi Mmoja, Maradona Mmoja, na Dyabala Mmoja tu. Paulo Dyabala Na Ndoto Ya...

Kama ilivyokuwa kwa kila mtu nchini Italia, Paulo Dyabala aliathirika kwa kiasi kikubwa na balaa la Edoardo Di Carlo na Samuel Di Michelangelo, vijana...

Je Van Gaal ataumaliza msimu vizuri? Aiongoza United kushinda mechi ya 4 mfululizo 

Mapema wiki iliyopita hakuna shabiki wa ambaye alikuwa anaamini timu yake ingeweza kupata matokeo chanya katika mechi 4 zilikuwa zinafuatana mfululizo za michuano tofauti,...

Nidhamu mbovu ya Costa na kiburi cha Conte, kunafanya majaaliwa ya Diego yasieleweke darajani

Na Salym Juma, Arusha Kiungo mwenye heshima zake AC Milan na Juventus, Andrea Pirlo amewahi kukaririwa akisema kuwa Antonio Conte anapenda kuwa Bosi. Inawezekana watu...

STORY KUBWA