Tuesday, September 25, 2018

Makala

Home Makala

MAAMUZI YA TFF SAKATA LA MESSI, TUZO ZA VPL NI UTHIBITISHO WA UOZO WA...

Na Shaffih Dauda Namshukuru Mungu tumekutana tena Jumamosi ya pili tangu nianze kuandika makala katika gazeti hili bora la michezo nchini! Juma hili kuna mambo makubwa...

NATAMANI TERENCE TAO ANGEKUWA MCHEZAJI WA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA

Na Anwar binde Nini unakumbuka Unaposikia mtu akimtaja Hector Cuper? Hapana shaka Kumbukumbu zako zitarudi mpaka miaka ya nyuma kidogo kuanzia 1997 -2002. Hapo ndipo...

Nje ya pitch- SAFA waliitumia BANYANA BANYANA, TFF itumieni Kill Queens

Na Athumani Adam Kabla ya ligi ya wanawake nchini Afrika Kusini, kampuni ya masuala ya petroli iitwayo Sasol walikuwa wadhamini wakuu (official sponsor) wa timu...

UUNGWANA NA UHAMASISHAJI NJE YA UWANJA VINAWAFANYA WACHEZAJI HAWA KUWA MIFANO YA KUIGWA

Na Salym Juma Busara, uungwana na uhamasishaji ni vitu muhimu sana ambavyo binafsi naota kuwa navyo muda wote wa maisha yangu. Nelson Mandela na Julius...

HILI LA  ‘MA PROO’ LIANGALIWE UPYA

Na Hemed  Kivuyo LIGI Kuu ya Vodacom  Tanzania bara  inasimama tena  na tutaendelea mwezi wa 12 kama ilivyo kawaida yetu. Wakati tunakwenda  mapumziko pia tunaiacha timu ya taifa ikienda kuweka kambi...

MAKALA : YOHAN CABAYE ALIVYOONDOKA KINYONGE PSG

Ilikua ni bahati mbaya sana kwa mwanasoka Yohan Cabaye ambaye alitumia muda mwingi kukaa benchi kuliko kucheza katika kipindi cha miezi 18 iliyopita pale...

 VITA 3 MUHIMU, MAN UNITED KUUVUKA MLIMA WA WOLFSBURG LEO?

Na Simon Chimbo Manchester United leo usiku itakua ikipambana na klabu ya soka ya VfL Wolfsburg katika uwanja wa nyumbani wa VfL, Volkswagen Arena katika...

Ifikie wakati sasa mipango mathubuti itumike kuiandaa Taifa Stars

Na George Mganga, Dar es salaam Wakati mwingine tujaribu kuvuta hisia na kukumbuka miaka ya nyuma nchi yetu ilikuwaje katika tasnia ya soka. Ni mbinu gani...

MAKALA : VIPIGO VYA BARCA…MCHAWI WA KWANZA ENRIQUE, WA PILI HUYU HAPA

'Nyumba mlango' Hii ina maana mlango ukiwa mbovu hata nyumba itakuwa haijakamilika. Barcelona mwishoni mwa wiki iliruhusu magoli 4 ugenini kutoka kwa Atletco Club Bilbao, siku...

HIVI NDIVYO STERLING ALIVYOONGEZA KITU MANCHESTER CITY

Na Simon Chimbo Tofauti na mwanzo wa msimu wa mwaka jana, Manchester City hivi sasa wanaonekana wenye njaa na kasi ya ajabu hasa katika eneo...

STORY KUBWA