Thursday, September 20, 2018

Makala

Home Makala

Labda ‘tabia yake’ itawapa ubingwa Yanga msimu huu, si kwa mbinu za Lwandamina na...

Na Baraka Mbolembole KATIKA michezo miwili waliyokusanya pointi nne mjini Njombe na Songea, timu ya Yanga haikuonekana kucheza vizuri  huku safu ya kiungo ikionekana ‘kuchemka’....

‘ BAADA YA KIEMBA, KISIGA, CHANONGO, ANAYEFUATA NI PHIRI………

Na Baraka Mbolembole Awali wakati wa majira ya usajili nchini, timu ya kandanda ya Simba SC iliamua kufanya mabadiliko makubwa katika kikosi chake. Ikiwa chini...

ASANTENI RONALDO NA MESSI TUMEBARIKIWA KUWAONA

Si jambo la ajabu kwa Kijana wa miaka ya 80 akikusimulia jinsi Diego Maradona alivyowaua England kwa bao lake la "Mkono Wa Mungu" katika...

MIKASA YA LIGI YA TANZANIA (Part III)

Na Zaka Zakazi Mwaka 1967 ulikuwa msimu wa tatu wa ligi ya taifa yaani mashindano ya kutafuta klabu bingwa ya taifa. Msimu huu ulishuhudia mabadiliko makubwa....

PAUL POLPO ‘PWEZA’ LULU YA EURO MIL. 100 ILITUPWA NA FERGUSON

Na Athumani Adam Paul Pogba kijana wa Kifaransa mwenye asili ya Guinea, ni  mmoja wa viungo ambao wamekamilika kwenye ulimwengu soka. Pogba ana kila kitu,...

United watarajie nini kwa Victor Lindelof?

Kutoa kiasi cha euro 30.7m kumnunua mlinzi tena mwenye umri wa miaka 22 sio jambo dogo lakini Manchester United hawakujali na wametoa kiasi hicho...

MBWIGA WA MBWIGUKE: FUNDI SELEMALA ANAYETIKISA REDIO CLOUDS FM

Na Maregesi Paul SIKU moja nilikuwa katika mkutano wa Jukwaa la Wahariri ambao mgeni rasmi alikuwa Mwenyekiti wa Kampuni za IPP, Reginard Mengi. Katika mazungumzo yake,...

EPL: Spurs vs Man Utd – Rekodi ya matokeo mabaya vs United yataendelea na...

Hapo nyuma kidogo Manchester United walikuwa wakitawala sana Premier League na mechi za aina ya timu kama Tottenham zilikuwa zinachukuliwa kama mechi dhidi ya...

MARA 7 CHELSEA WALIPOINGILIA MADILI YA WATU

Na Naseem Kajuna Chelsea wamefanikiwa kumnyakua Mitchy Batshuayi kutoka mikononi mwa klabu nyingi za EPL ambazo ziikuwa zinamtaka, lakini hii si mara ya kwanza kwa...

Pogba muhimu zaidi United: Majeraha yake yalivyowagharimu Lukaku & Mhikitaryan

Baada ya mwanzo mzuri katika msimu huu akifunga magoli 11 katika mechi 10 za kwanza, Romelu Lukaku alitegemewa kuendeleza moto wa ufungaji, hata hivyo...

STORY KUBWA