Thursday, September 20, 2018

Makala

Home Makala

ZAHORO PAZZI: LOGARUSIC HATAFIKA POPOTE KWENYE KAZI YAKE

NA Baraka Mbolembole .Kiungo mshambuliaji wa timu ya Simba SC, Zahoro Pazzi amefunguka na kusema kuwa hatosaini klabu yoyote kama Simba itasitisha mkataba wake kama...

JICHO LANGU LA TATU; NAMSUBIRI KWA HAMU MARCIO MAXIMO YANGA AFUFUE VIPAJI VILIVYOPOTEA

Na Baraka Mbolembole MARCIO MAXIMO alikuwa kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kwa muda wa miaka minne. Kuanzia, juni, 2006 hadi...

YANGA MNATAKA KUTUKUMBUSHA `UHONDO` WA MARCIO MAXIMO, NI KOCHA BORA ANAYEWEZA KUWAFAA JANGWANI

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam Tel: 0712461976 YANGA SC ipo katika mchakato wa kusaka kocha mkuu ili kuziba pengo lililoachwa wazi na Mholanzi, Hans Van...

WANACHAMA YANGA SC, BAADA YA UAMUZI NI UTII

Na Baraka Mbolembole Narudia tena kusema; ' Mtu mkubwa ni Mwanafunzi', na maana alisi ya neno falsafa ni ' Kutafuta busara, kupenda hekima'. Falsafa linatokana...

MAONI YA MDAU IBRAHIM MKAMBA JUU YA SAKATA LA KUENGULIWA MICHAEL WAMBURA.

"Michael Wambura ameenguliwa kwenye uchaguzi wa Simba kwa kuelezewa kwamba si mwanachama halali baada ya kusimamishwa uanachama mwaka 2010 kwa kuifikisha Simba mahakamani. Tukiwa...

COSTA RICA WANA JIPYA GANI MWAKA HUU…

[youtube https://www.youtube.com/watch?v=H1R8R0via38] Unapotaja neno La Sele ama Los Ticos moja kwa moja utakuwa unaizungumzia timu ya taifa ya Costa Rica, ambayo ni timu ya tatu...

UCHAGUZI SIMBA: HAYA YA AVEVA, KABURU NA ZACHARIA HANS POPPE SIJAELEWA HATA KIDOGO

Zacharia Hans Poppe amesema wanachama wasipomchagua Aveva na Kaburu anaacha kupoteza muda na fedha zake Na Baraka Mpenja, Dar es salaam Tel: 0712461976 WAKATI Wekundu wa Msimbazi...

KUTOKA UCHEZAJI HADI UFUNDISHAJI JUMA KASEJA ANAWEZA KUWA KOCHA MZURI

Na Baraka Mbolembole Golikipa wa zamani wa timu ya soka ya Simba, Juma Kaseja, 29 katikati ya mwanzoni mwa wiki hii alikuwa mmoja wa watu...

LUIS ENIRIQUE, AMERUDI NYUMBANI KURUDISHA MAKALI YA BARCELONA

Na Baraka Mbolembole Baada ya kumaliza msimu pasipo kutwaa ubingwa wowote, kocha, Martino aliamua kuachia kazi yake mara baada ya kikosi chake kulazimishwa sare...

SIMBA SC MWACHENI NDUMBARO AFANYE KAZI YAKE, SUBIRINI MAJINA JUNI 29

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam Tel: 0712461976 HEKAHEKA za uchaguzi wa klabu ya Simba zinaendelea kwa kasi na ifikapo juni 29 mwaka huu rais mpya,...

STORY KUBWA