Friday, July 20, 2018

Makala

Home Makala

NAFASI YA MAKAMU WA RAIS SIMBA SC HAINA WATU SAHIHI?

Na Baraka Mbolembole Kuna watu wamezaliwa kuwa viongozi, kila wanachokuwa wanasimamia huendavizuri. Jana ndiyo ilikuwa siku ya mwisho kwa wanachama wa klabu ya soka ya...

MICHAEL WAMBURA vs EVANCE AVEVA, NANI MWENYE SIFA ZA KUITOA SIMBA SC ILIPO SASA?

Evance Aveva siku alipoenda kuchukua fomu ya kugombea Urais katika klabu ya Simba. ( picha na Global Publisher) Na Baraka Mbolembole Tunapozungumzia juu ya kukua kwa...

EXCLUSIVE: KUTANA NA MUSSA KISSALA KIJANA WA KITANZANIA ANAYETIKISA MPIRA WA KIKAPU NCHINI ENGLAND

Na Baraka Mpenja, Dar es Salaam +255 712461976 UNAPOZUNGUMZIA michezo maarufu duniani ukiacha soka lenye mashabiki kila kona ya sayari hii ya tatu, mpira wa kikapu...

TAIFA STARS VS THE WARRIOS; KNOWLEDGE MUSONA NI MTU WA KUCHUNGWA SANA

Na Baraka Mbolembole Timu ya soka ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars itawasili, jijini, Dar es Salaam, siku ya kesho ikitokea katika kambi ya wiki...

TUNATAKA NYUMBA IMARA KWA MSINGI WA UDONGO MFINYANZI

Nilipokua mwanafunzi wa shule ya msingi sikuwahi ona umuhimu wake mpaka nilipo hitimu.Ungeniuliza kipindi hicho kwanini nasoma shule ya msingi,Nisingekua na jibu la kukupa.Nilikua...

SIMBA YAMALIZWA NA MABADILIKO YA BENCHI LA UFUNDI

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam MABADILIKO ya mfululizo katika benchi la ufundi imetajwa kuwa moja ya sababu ya Wekundu wa Msimbazi kufanya vibaya msimu...

MTIBWA SUGAR YAJIPANGA KUSAKA NYOTA WAPYA

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam MABINGWA wa zamani wa Tanzania kwa mwaka 1999 na 2000, Mtibwa Sugar wamekiri kukumbana na changamoto kubwa msimu wa...

MOYES AWASHUKURU MASHABIKI MAN UNITED

DAVID Moyes amewashukuru mashabiki wa Manchester United baada ya kufukuzwa kazi jana na kusema anajivunia kuiongozo klabu kubwa duniani kama Man United. Moyes alifukuzwa kazi...

REAL MADRID YAICHAPA BAYERN 1-0, HATARI YABAKI ALLIANZ ARENA!!

Benzema (kushoto) akifunga bao huku beki wa Bayern David Alaba  Kipa wa Real Madrid ,  Iker Casillas  akiokoa mchomo dakika za mwisho kumnyima bao la...

MASHALI AWAKOMALIA MABONDI KUFANYA MAZOEZI

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam BONDIA bingwa wa UBO Afrika, Thomas Mashali maarufu kwa jina la `Simba asiyefugika` amewaasa wanamasumbwi wenzake kufanya mazoezi muda...

STORY KUBWA