Friday, August 17, 2018

Makala

Home Makala

HAYA YA BRAZIL KUPIGWA 7-1 NI MAJANGA, KWA SIMBA SC MUDA WA KUPANGA MAJESHI...

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam 0712461976 LUIZ Felipe Scolari amekubali kubeba lawama zote kutokana na fedheha waliyoipata Brazil kutoka kwa `watu katili` Ujerumani. Haikutegemewa na wengi...

AZAM FC  IMEJIIMARISHA ZAIDI KUELEKEA MSIMU UJAO

 Na Baraka Mbolembole Mabingwa wa kandanda Tanzania Bara, klabu ya Azam FC wameingia katika wiki ya tatu ya maandalizi ya msimu mpya wa 2014/15 ambao...

   DICKSON MUGANDA,  NI KIELELEZO TOSHA WACHEZAJI WA TANZANIA KUCHELEWA KUCHEZA LIGI KUU

Na Baraka Mbolembole, Dar es salaam Wakati timu mbalimbali za ligi kuu ya Tanzania Bara zikiendelea na zoezi la usajili kuimarisha vikosi vyao kwa ajili...

KWA HILI MARCIO MAXIMO UMETISHA, KIROHO SAFI! MAISHA YANATAKIWA KUENDELEA YANGA SC

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam 0712461976 KOCHA Mbrazil, Marcio Maximo na msaidizi wake Leonadro Neiva wanatarajia kuanza kazi rasmi jumatatu baada ya kumwanga wino kuitumika...

SIO MUDA MUAFA WA KUMUITA COUTINHO `MUUZA MADAFU` BRAZIL

Afisa habari wa Yanga, Baraka Kizuguto (kulia) akiwa na Coutinho baada ya kuwasili nchini jana akitokea nchini Brazil Na Baraka Mpenja, Dar es salaam 0712461976 YANGA SC...

BIN SLUM KUINUA SOKA NA KUTANUA SOKO LA BIASHARA

Bin Slum ameidhamini Mbeya City FC kwa kitita cha milioni 360 Na Baraka Mbolembole Kitu kizuri kinajiuza chenyewe popote pale, katika ulimwengu ambao mchezo wa...

WANACHAMA SIMBA MNAJUA WAKATI ULIOPO MBELE YENU?, SASA UTANI TUPA KULE!

Mtadanganyika?: Wanachama wa Simba jiepusheni na siasa nyepesi za wagombea. Tumieni muda kutafakari sera za wagombea. Na Baraka Mpenja, Dar es Salaam 0712461976 SHIRIKISHO la Mpira wa...

MICHAEL WAMBURA KUBALI YAISHE MAISHA MENGINE YAENDELEE SIMBA SC

Atakubali?: Michael Richard Wambura rufani yake imekataliwa na kamati ya Rufani ya uchaguzi ya TFF baada ya kubainika alipiga kampeni kabla ya muda ikiwa...

SIO MUDA WA KUTUNISHIANA MISULI UCHAGUZI SIMBA, RAGE, MALINZI HAKIKISHENI NGOMA INACHEZWA JUNI 29

Rais Malinzi busara zako zinahitaji kuwafanya Simba wakamilishe uchaguzi wao. Na Baraka Mpenja, Dar es salaam 0712461976 KWA misimu miwili, Wekundu wa Msimbazi wamekosa nafasi ya kushiriki...

UNAYAJUA MAJUKUMU YA WATU KAMA NADIR HAROUB `CANAVARO` KWENYE MPIRA WA MIGUU? SONGA NAYO….

Kiongozi: Nahodha wa Yanga sc na timu ya taifa ya Tanzania Taifa stars, Nadir Haroub `Cannavaro` mwenye jezi namba 13 wakati walipolazimisha sare ya...

STORY KUBWA