Thursday, September 20, 2018

Makala

Home Makala

JICHO LANGU LA TATU: SAMATTA  NI MSHAMBULIAJI WA KATI…

Na Baraka Mbolembole Kama timu ina uwezo wa kupanga mashambulizi na haitengenezi nafasi za kufunga kutokea katikati ya uwanja hilo ni tatizo, pasi za mabao...

SIMBA, YANGA ZIMEKOSA WATU SAHIHI KUTENGENEZA HELA KWA KUTUMIA FURSA YA MASHABIKI…MDHAMINI KUNUNUA VIFAA...

Meneja wa Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe akiwakabidhi vifaa Makamu wa Rais wa Simba SC, Geoffrey Nyange pamoja na Mkurugenzi wa Masoko wa Yanga...

UCHAMBUZI: ILI KUPATA UBORA WA ULIMWENGU, `MARA MIA NANE` ANGECHEZA KATIKATI KULIKO PEMBENI

Na Shaffih Dauda KOCHA wa Timu ya taifa ya Tanzania, Mholanzi, Mart Nooij aliamua kuwaanzisha washambuliaji wanne katika mechi dhidi ya Msumbuji, kuwania kupangwa hatua...

MJUE KIUNDANI KHAMIS MCHA ALIYEITUNGUA `BLACK MAMBAS` MABAO MAWILI…FAHAMU KWANINI ANAITWA `VIALLI`..

Mshambuliaji wa Stars, Khamis Mcha `Vialli` akiwa katika harakati za kufunga goli.  Na Baraka Mpenja, Dar es salaam 0712461976 KUTOKANA na kambi iliyowekwa mjini Gaborone nchini Botswana...

AISHI: TUTABORESHA ZAIDI KIWANGO CHETU ILI KULINDA MAFANIKIO

Na Baraka Mbolembole Aishi Manula ni kipa chipukizi mwenye uwezo mkubwa wa kucheza mipira ya krosi na kona licha ya kuwa na kimo cha wastani....

DAVID MWANTIKA: MECHI NA TANZANIA PRISONS ILIKUWA NGUMU SANA

Na Baraka Mbolembole Mlinzi wa kati wa Azam FC David Mwantika alicheza kwa miaka mitano katika timu ya Tanzania Prisons ya mkoani Mbeya. Mwantika ambaye...

KWA MASHINE HIZI ZA TAIFA STARS, BLACK MAMBAS WATATOKAJE?

Mbwana Samatta (kushoto) na Mrisho Ngassa (kulia) wataanza pamoja Na Baraka Mpenja, Dar es salaam TAIFA STARS chini ya kocha Mholanzi, Mart Nooij inaingia uwanjani jioni...

 AGGREY MORRIS: UBORA,  UMOJA NA USHIRIKIANO VILITUBEBA MSIMU ULIOPITA, AZAM FC ITATETEA UBINGWA WAKE...

Na Baraka Mbolembole Mlinzi  wa kati na nahodha wa msadizi wa mabingwa wa ligi kuu Tanzania Bara msimu wa 2013/14, Aggrey Morris alijiunga na...

HIVI NDIVYO MSIMU WA MAFANIKIO WA AZAM FC ULIVYOANDALIWA

Na Baraka Mbolembole Azam FC ilianzishwa mwaka 2007, lakini timu hiyo ilikuwepo tangu mwaka 2004 ikiwa chini ya wafanyakazi wa kiwanda . Awali timu hiyo...

JAMAL MALINZI MKAZI WA MASAKI ADUI MKUU WA WAKAZI WA MANZESE

          Hakuna kitu kibaya kama kutembea na mtu aliyeshiba wakati wewe una njaa. Shibe yake huwa inampa hisia kuwa na...

STORY KUBWA