Thursday, June 21, 2018

Makala

Home Makala

VIONGOZI, WACHEZAJI, MASHABIKI SIMBA SC, SASA MUELEWENI LOGA…

Kocha mkuu wa klabu ya Simba, Mcroatia, Zdravko Logarusic (kushoto) Na Baraka Mbolembole, Dar es salaam KILA kitu kinakwenda vizuri, zile tetesi zote zilizokuwa zimetanda...

KABUMBU KAMA UNALIJUA, UNALIJUA TU, MBELEKO UTAISAHAU!

Vijana wa Coastal Union  walitwaa ubingwa wa kombe la Uhai Na Baraka Mpenja, Dar es salaam 0712461976 KANUNI ya kuwa mchezaji bora wa mpira wa miguu ni...

TFF HII TABIA YA KUONGEZA MUDA WA USAJILI NA KUPIGA KALENDA LIGI KUU ITAISHA...

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam 0712461976 SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) jana limetangaza kuongeza muda wa usajili kwa wiki mbili ili kuzipa klabu...

LOGA BAKI KWENYE MSINGI WAKO HUU, UTAISAIDIA SIMBA SC NA SOKA LA TANZANIA

Hapa ilikuwa baada ya kushinda mechi ya Nani Mtani Jembe desemba mwaka jana ambapo Simba waliitandika Yanga mabao 3-1 Na Baraka Mpenja, Dar es salaam 0712461976 UONGOZI wa...

TOFAUTI YA MTIBWA SUGAR  NA FC PORTO’

Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam,  Mtibwa Sugar ni moja kati ya timu tano zilizowahi kutwaa ubingwa wa kandanda wa Tanzania Bara ambazo zitashiriki katika...

JICHO LANGU LA TATU:  KELVIN YONDANI ARUDISHWE BENCHI, NANI PACHA WA CANNAVARO?  

Na Baraka Mbolembole, Dar es salaam Safu ya ulinzi ya Taifa Stars ilifanya makosa yasiyo ya lazima na wakajikuta wakiruhusu mabao nane katika michezo mitatu...

KAMA SIMBA, YANGA HAWAZIKI TABIA HII, MIAKA NENDA RUDI..MAFANIKIO NDOTO ZA MCHANA!

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam 0712461976 HAKUNA uchawi  katika soka!. Kabumbu ni mipango na kupita njia sahihi ili kufikia kiwango cha juu. Tanzania ni miongoni mwa...

JICHO LANGU LA TATU: SAMATTA  NI MSHAMBULIAJI WA KATI…

Na Baraka Mbolembole Kama timu ina uwezo wa kupanga mashambulizi na haitengenezi nafasi za kufunga kutokea katikati ya uwanja hilo ni tatizo, pasi za mabao...

SIMBA, YANGA ZIMEKOSA WATU SAHIHI KUTENGENEZA HELA KWA KUTUMIA FURSA YA MASHABIKI…MDHAMINI KUNUNUA VIFAA...

Meneja wa Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe akiwakabidhi vifaa Makamu wa Rais wa Simba SC, Geoffrey Nyange pamoja na Mkurugenzi wa Masoko wa Yanga...

UCHAMBUZI: ILI KUPATA UBORA WA ULIMWENGU, `MARA MIA NANE` ANGECHEZA KATIKATI KULIKO PEMBENI

Na Shaffih Dauda KOCHA wa Timu ya taifa ya Tanzania, Mholanzi, Mart Nooij aliamua kuwaanzisha washambuliaji wanne katika mechi dhidi ya Msumbuji, kuwania kupangwa hatua...

STORY KUBWA