Friday, October 19, 2018

Makala

Home Makala

JE, MBINU ZA MOURINHO ZITAFANYA KAZI, EVERTON vs CHELSEA?.

Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam, Diego Costa amefunga mabao mawili katika michezo miwili ya mwanzo akiwa na klabu ya Chelsea katika ligi kuu...

‘ HUU NDIYO UBORA WA KWANZA WA YANGA SC’

Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam, Tayari, Yanga SC imecheza michezo miwili ya kujiandaa na msimu mpya wa ligi kuu ya kandanda Tanzania Bara ambayo...

‘ SURE BOY Jr’ ANAVYOWEZA KUMFIKIA, XAVI HERNANDEZ

Salum Abubakary ‘ Sure Boy JR’ ni zao la timu ya vijana ya Azam FC, ni mchezaji wa nafasi ya kiungo-mshambulizi, mtoto wa...

MFUMO GANI HASA UTAMFAA ANGEL DI MARIA MANCHESTER UNITED?

Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam. Machester United jana ilichapwa kwa mabao 4-0 MK Dons na kuondolewa katika michuano ya kombe la ligi ‘ Capital...

MBWEMBWE ZA YANGA ZITAMUWEZA MAXIMO

Haikunishangaza sana pale klabu ya Yanga ya Tanzania ilipoamua kupeleka kikosi ambacho si cha kwanza katika michuano ya Kagame. Tena ikaamua kupeleka kocha msaidizi badala ya...

VAN GAAL HUWEZI KUPIKA CHAPATI KWA UNGA WA MUHOGO

Tunamshukuru aliyeleta wazo la kila kata kuwa na shule ya sekondari.Shule hizi...

SOKA LA TANZANIA: MVUVI ANAPOOGOPA KUPOTEA BAHARINI

Tarehe 22/8/2014 nilipata nafasi ya kukutana na Christian Karembeu, na Fernando Saz kwa ukaribu zaidi, hawa ni wachezaji wa zamani wa klabu ya Real...

BAADA YA DI MARIA, VAN GAAL NI LAZIMA ASAJILI BEKI WA KATI UNITED

NA BARAKA MBOLEMBOLE Ushabiki ni kitu cha kwanza katika mpira wa miguu. Shabiki ni mtu anayependa ' kupita kiasi' kile anachokuwa anashabikia. Kama huna sehemu...

AVEVA, HANS POPPE, KABURU MSIPONIELEWA HILI KUHUSU PATRICK PHIRI NIPIGIENI SIMU!

Simba itarudia rekodi ya 1993 barani Afrika?: Rais wa Simba sc, Evans Elieza Aveva anaaminiwa kurudisha heshima ya klabu hiyo. Na Baraka Mpenja, Dar es...

SINA TATIZO NA ZACHARIA HANS POPPE, MFUMO NDIO ‘CHENGA’ YA MWILI

Mwenyekiti wa kamati ya usajili ya Simba sc, Zacharia Hans Poppe Na Baraka Mpenja, Dar es salam 0712461976 MASHABIKI na wadau wengi wa soka nchini Tanzania wanapenda...

STORY KUBWA