Friday, June 22, 2018

Makala

Home Makala

RIPOTI MAALUMU: USAJILI WA MARCOS ROJO MANCHESTER UNITED UMEGUBIKWA NA UTATA MZITO ILIOFICHIKA DHIDI...

Na Shaffih Dauda HATIMAYE Manchester United imeingia katika hatihati kwa kumsajili beki wa Sporting Lisbon, Marcos Rojo, ingawa njia zilizotumika ni za uhamisho wa...

 SOMA UCHAMBUZI WA AZAM FC v EL MERREIKH, ROBO FAINALI KOMBE LA KAGAME

Na Baraka Mbolembole Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Kagame Cup, Azam FC watakuwa uwanjani jioni ya leo kuwakabili timu ya El Merreikh ya Sudan...

SABABU ZA ‘CHUJI’ , JOSEPH, AZIZ, MOMBEKI, NA WENGINEO KUPIGISHWA MSOTO WA MAJARIBIO NA...

'Kaka mkubwa' Athumani Idd 'chuji' bado anagangaika kutafuta timu baada ya kutemwa na Yanga Na Baraka Mpenja, Dar es salaam o712461976 TIMU mbalimbali za ligi kuu soka...

SIMBA, YANGA, AZAM FC, MBEYA CITY NANI KUANZIA ALIPOISHIA?, NDANDA FC, STAND UNITED, POLISI...

Watakujaje?: Moja ya kikosi cha Simba sc msimu uliopita Na Baraka Mpenja, Dar es laam 0712461976 LIGI kuu soka Tanzania bara inaanza kutimua vumbi septemba 20 mwaka...

  JICHO LANGU LA TATU: ITAKUWA YANGA SC YA MAXIMO 2014/15

Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam,  Mbrazil, Marcio Maximo amekuwa kocha wanne kufanya kazi Yanga SC tangu, Yusuph Manji alipokuwa mwenyekiti wa klabu hiyo katikati...

 GEILSON SANTOS  ‘ JAJA’ USIMFANANISHE SASA NA KINA ‘ MBA’

Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam,  Ade Akinbiny  alishinda taji moja tu katika maisha yake ya soka la kulipwa! Tena taji hilo si la ushindi...

JICHO LA.NGU LA TATU: MECHI YA TANZANIA 11 vs REAL MADRID, ITUMIKE KUFUFUA MRADI...

Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam,  Kwa wapenzi wa soka Tanzania wanaweza kuamini mradi wa kuendeleza soka la vijana nchi umekufa, tena kifo kibaya. Mechi...

NADIR HAROUB vs FABIO CANNAVARO

Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam, ' Los Blancos', ni wafalme wa ' karne mpya' ambao miongoni mwao wametwaa mataji yote makubwa katika ngazi ya...

LOGARUSIC HAKUPEWA NAFASI YA KUFANYA KAZI YAKE

NA Shaffih Dauda, Dar es Salaam, Simba SC wanajua sababu za msingi kwa nini walimtimua kocha Zdravko Logarusic kwa sababu ni wao wenyewe ndiyo walimuajiri,...

HARUNA MOSHI ANARUDI SIMBA SC

  Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam, Haruna Moshi ' Boban' anaishabikia timu ya Simba SC, ilikuwa ni ndoto iliyotimia wakati alipojiunga na klabu hiyo kwa...

STORY KUBWA