Thursday, June 21, 2018

Makala

Home Makala

SIMBA KUCHEZA NA URA HALAFU NDANDA FC NDANI YA SAA 24, UNADHANI NI DHARAU...

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam 0712461976 SIMBA SC kesho ijumaa inacheza mechi ya pili ya kimataifa ya kirafiki chini ya kocha Patrick Phiri dhidi ya...

KUMSHINDA EMMANUEL OKWI FIFA SIO RAHISI KWA YANGA, LABDA INAWAUMA HANS POPPE KUPATA POINTI...

Makamu wa Rais wa Simba sc, Geofrey Nyange 'Kaburu' (kushoto) na Emmanuel Okwi (kulia) wanakumbushi zile 5-0? Na Baraka Mpenja, Dar es salaam 0712461976 EMMANUEL Okwi kwasasa...

HIVI ANKO HAO JAMAA  MBAKUSHOBOROLA  BATAI?

       Usajili wa Mbuyu Twite JR ulileta mgogoro baina ya Simba sc na Yanga sc              ...

SI LAZIMA, ILA NI MUHIMU MANJI AKAWAJIBIKA  KWA UONGO WAKE…

 Amechemsha?: Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji (kulia) siku alipotangaza kumshitaka Okwi. Kushoto ni makamu mwenyekiti wa klabu hiyo, Clement Sanga. Na Baraka Mbolembole   Suala la...

YANGA SC WALIVYOYEYUSHWA NA DRFA, BIG BULLETS WALIKAZIWA 0-0 NA EPAC UNITED LIGI YA...

Hii ni hatari sana!: Big Bullets waliodaiwa kuharibikiwa na gari wakija Tanzania kucheza na Yanga, jana jioni walitoka 0-0 dhidi ya EPAC United katika...

OKWI NI MJANJA SANA, AMFANYA HANS POPPE AWAPIGE BAO LA KISIGINO YANGA SC

Ameshinda? : Mwenyekiti wa kamati ya usajili wa Simba, Zacharia Hans Poppe Na Baraka Mpenja, Dar es salaam 0712461976 KAMA ubongo wako una uwezo mzuri wa kutunza...

KIONGERA NI ‘ MTU MBAYA KWA NYAVU’

 Na Baraka Mbolembole Moses Odhiambo alikuwa mshambulizi wa mwisho kufanya vizuri na kupendwa na mashabiki wa soka wa klabu ya Simba SC, Odhiambo ambaye kwa...

PATRICK PHIRI ALIVYOJIVUA U-LUIZ FELIPE SCOLARI, SASA SIMBA RAHA TUPU!

Wachezaji wa Simba sc wakishangilia bao la Ramadhan Singano 'Messi'  jana Simba ikiitandika Gor Mahia 3-0 uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam Na Baraka...

PATRICK PHIRI LAZIMA AIFUNGE GOR MAHIA LEO?

Kocha mkuu wa Simba sc, Mzambia, Patrick Phiri  Na Baraka Mpenja, Dar es salaam 0712461976 KARIBIA mwezi mmoja sasa tangu klabu ya Simba imfungashie virago aliyekuwa kocha...

HUU NDIO ‘UTAMU’ WA MARCIO MAXIMO NA YANGA YAKE….

Kocha mkuu wa Yanga sc, Marcio Maximo (kushoto) akimuelekeza jambo mshambuliaji wa klabu hiyo, Jeryson John Tegete Na Baraka Mpenja, Dar es salaam 0712461976 KATIKATI ya wiki...

STORY KUBWA