Sunday, June 24, 2018

Makala

Home Makala

PLATIN ANAIPIGANIA ULAYA YAKE, MALINZI STARS IMEHUJUMIWA……

Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam Hivi karibuni Rais wa Shirikisho la soka barani ulaya, Michael Plattin amenukuliwa na vichwa vya habari vya magazeti mengi...

AKINA PETER TINO, LEODIGAR TENGA, ADOLF RISHARD WAPYA KUIBUKIA DR MWAKA SPORTS XTRA NDONDO...

Aliyekuwa Rais wa TFF, Leodigar Chila Tenga alikuwa mchezaji tegemeo kwa Taifa Stars miaka ya 1980 Na Baraka Mpenja, Dar es salaam HISTORIA inaonesha kuwa zamani...

TFF KUCHUNGUZA HUJUMA KWA TAIFA STARS NI KUPOTEZA MUDA TU…TATIZO NI MFUMO NA LIGI...

Na Shaffih Dauda SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) septemba 19 mwaka huu lilitangaza kupokea kwa masikitiko makubwa taarifa zilizoandikwa kwenye baadhi ya Vyombo...

 KIPRE TCHETCHE, AMIS TAMBWE, DIDIER KAVUMBAGU WAMEFUNGA MABAO  83 TANZANIA BARA

Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam, Kipre Tcheche amefunga mabao 47 katika ligi kuu ya Tanzania Bara tangu alipowasili katika kikosi cha Azam FC, Januari,...

BAO LA TAMBWE LASHINDWA KUFICHA UDHAIFU SIMBA SC…

Na Baraka Mbolembole,  Lutimba Yayo, Rama Salim kila mmoja alifunga katika mchezo wa sare ya mabao 2-2 kati ya Simba SC na Coastal Union uliofanyika...

SIMBA NI DHAIFU KUANZIA TIMU MPAKA MCHEZAJI MMOJA MMOJA….WASHUKURU KUPATA SARE YA 2-2  DHIDI...

Kikosi cha Simba kilichoanza jana dhidi ya Coastal Union. (Picha kwa hisani ya Globalpublisher) Na Shaffih Dauda SIMBA SC chini ya kocha Mzambia Patrick Phiri wamehitimisha...

SIMBA SC vs COASTAL UNION: SIMBA ITACHAPWA…….

Na Baraka Mbolembole Ndanda FC inaongoza ligi kuu hadi  nakufikia sasa kabla ya mchezo wa Simba SC na Coastal Union jioni ya leo katika uwanja...

 JICHO LANGU LA TATU: MTIBWA SUGAR 2-0 YANGA SC

Na Baraka Mbolembole Kufikia robo saa, Mtibwa Sugar walikuwa mbele kwa bao 1-0  lililofungwa na Mussa Hassan Mgosi. Wachezaji wa timu hiyo walikimbia pembeni ya...

DALILI YA MVUA NI MAWINGU…SIMBA, YANGA PIGENI HESABU BARABARA

Kipa wa Mtibwa Sugar, Said Mohamed akiokoa moja ya shambulizi la Yanga. (Picha na Globalpublisher) Na Baraka Mpenja, Dar es salaam PAZIA la ligi kuu Vodacom...

STEVE:CHUKI ZIMENIKIMBIZA YANGA

bali ya mshambuliaji Mbrazil Geilson Santos ” Jaja”kutawala midomoni mwa mashabiki wa soka nchini baada ya kufunga goli mbili na kuiwezesha klabu yake ya...

STORY KUBWA