Wednesday, October 18, 2017

Makala

Home Makala

WAHISPANIA NI ‘SHEEDAH’ EPL, WANAFANYA WATAKAVYO KWENYE ARDHI YA WAINGEREZA

Mimi ni muumini mkubwa sana wa kuwafuatilia wachezaji wapya wanaokwenda kwenye ligi mpya. Kutokana na uumini huu, sikuwa na jinsi zaidi ya kwenda kuwatazama West Bromwich...

GARY NEVILLE: “NI UBISHI AU UJINGA WA WENGER…?”

Kwa muda mchache anaonekana kuwa vizuri, Francis Coquelin anaonesha kitu katika safu ya kiungo ya Arsenal. Kamati ya uchambuzi ya ESPN walijaribu kuangalia kikosi...

TFF kutotuambia nani ‘kachakachua’ mkataba kati ya Simba na Singano ni kutolitendea haki soka...

Na Dickson Masanja Uongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) jana ulikutana na klabu ya Simba pamoja na mchezaji Ramadhani Singano ‘Messi’ kujadili...

KOEMAN AMETUMIA AKILI NDOGO

Ronald Koeman hazungumzwi sana na wala hasemwi sana. Aliitwaa Southampton iliyokuwa imeondokewa na Lovren beki wao bora wakati huo, Lambert pamoja na Lallana ambaye...

KLABU ZIKIZUILIWA CAF, WAKULAUMIWA NI TFF

Na Shaffih Dauda, Dar es SalaamKwanza nikutakie heri ya mwaka mpya 2016 wewe msomaji wa safu hii ya kujuzana mambo mbalimbali yanayotokea katika michezo...

BAADA YA KUSHINDA 2-0 NYUMBANI, STARS INAPASWA KUFANYA HAYA KUWAONDOA MALAWI

Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam Kiujumla timu ya Taifa ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars ilicheza vizuri katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Malawi,...

NIMEPATA SOMO KUBWA KWA STARS VS ALGERIA

Na Hemed Kivuyo, Dar es Salaam Professa Kitila Mkumbo ni mmoja kati ya wasomi ambao ni rafiki wa vyombo vya habari, amekuwa na utii pale...

NAPE ASIWE MGENI RASMI TU

Atumbue majipu, arasimishe sekta ya michezo Na Shaffih Dauda OSAKA, Japan Ni Jumapili nyingine tulivu ambayo wadau wa soka jioni wanajongea viwanjani au katika luninga zao kutazama...

HILI LA  ‘MA PROO’ LIANGALIWE UPYA

Na Hemed  Kivuyo LIGI Kuu ya Vodacom  Tanzania bara  inasimama tena  na tutaendelea mwezi wa 12 kama ilivyo kawaida yetu. Wakati tunakwenda  mapumziko pia tunaiacha timu ya taifa ikienda kuweka kambi...

KAGAME CUP 2015: TIMU ZILIZOPO NUSU FAINALI ZIMEFUNGA IDADI HII YA MAGOLI

Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam, Michuano ya 40 ya Cecafa Kagame Cup 2015, Ijumaa hii itachezwa michezo miwili ya nusu fainali, kisha ' tamati'...

STORY KUBWA