Tuesday, June 19, 2018

Makala

Home Makala

SAIMON MSUVA ANAPOGONGANISHA VICHWA VYA YANGA, AANZE KIKOSI CHA KWANZA KATIKA MFUMO GANI?

Saimon Msuva alitokea benchi na kuifungia timu yake mabao mawili katika mchezo wa ligi kuu tanzania bara kati ya yanga sc na jkt mgambo....

AZAM FC IKUBALI KUWATOA KAFARA BAADHI YA WATU ILI ISONGE MBELE, KALLY AMEFUKUZWA KWA...

Kally Ongalla alifukuzwa kazi wiki iliyopita katika klabu ya Azam FC. Taarifa ambazo zilitolewa kuwa kocha huyo anakwenda kujiendelea kimafunzo si za kweli...

MTIBWA SUGAR KILELENI, MBEYA CITY MKIANI, HII NDIYO LIGI KUU TANZANIA BARA ILIVYO..

Na Baraka Mbolembole, Mgambo Shooting ya Tanga ilifanikiwa kupata ushindi wa tatu msimu huu katika ligi kuu Tanzania Bara baada ya kuichapa, Mbeya City ...

‘ Emmanuel Okwi ndiye anayemfukuza Amis Tambwe, Simba SC’

Na Baraka Mbolembole, Mshambulizi wa klabu ya Simba SC, Mrundi, Amis Tambwe alifunga mabao 19 na kutwaa kiatu cha dhahabu kama mfungaji wa ligi kuu...

Kama, Patrick Phiri si bora, ni nani anayefanya chaguo la Milovan hivi sasa?

 Na Baraka Mbolembole, Klabu ya Simba SC ipo katika hatua za mwisho za kumrudisha nchini kwa mara ya tatu kocha, Milovan Curkovic. Msebria huyo ambaye...

VPL ROUNDUPS MZUNGUKO WA SITA; Azam FC Yanga SC, Simba SC ‘...

Na Baraka Mbolembole, NDANDA FC vs AZAM FC; ‘ Vita ya majeruhi’ Mzunguko wa sita wa ligi kuu ya kandanda Tanzania Bara utatimua...

SIMBA IKASOME MASHAIRI NA KAULI ZA UMOJA ZILIZOMSHANGAZA JIMMY CARTER.

Mwaka 1990 alizaliwa mtoto wa ajabu huko Marekani. Matthew Stepanek,mtoto aliyewashangaza wamarekani wengi.Stepanek...

‘ STARS MABORESHO WAPEWE NAFASI YA KUCHEZA MICHEZO YA KUFUZU, OLIMPIKI, 2016, BRAZIL……

Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam, ( Aishi Manula, golikipa wa timu ya Taifa ya Vijana na ile ya wakubwa, Taifa Stars) Kikosi cha Nigeria...

IMEDHIBITIKA KLABU YA BARCELONA INAONGOZA KWA KUZALISHA WACHEZAJI WENGI WANAOTAMBA HIVI SASA

Imedhibitika kuwa Klabu ya Barcelona inaongoza kwa kuzalisha wachezaji wengi wanaotamba kwa sasa barani ulaya na jeuri hiyo wanaitoa kupitia chuo cha soka cha...

‘ BAADA YA KIEMBA, KISIGA, CHANONGO, ANAYEFUATA NI PHIRI………

Na Baraka Mbolembole Awali wakati wa majira ya usajili nchini, timu ya kandanda ya Simba SC iliamua kufanya mabadiliko makubwa katika kikosi chake. Ikiwa chini...

STORY KUBWA