Tuesday, April 24, 2018

Makala

Home Makala

NI KWELI KUBWETEKA KUMEIGHARIMU MBEYA CITY, AU UWEZO WA MWAMBUSI UMEFIKIA MWISHO?

Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam, Baada ya kushiknda mara moja, kupoteza michezo minne na kutoa sare mara mbili, timu yam BEYA City inaburuza mkia...

TOFAUTI YAO NA YETU SISI………

Na Salum Mkandemba

JUMA KASEJA HAITAKI YANGA SC AU YANGA HAIKUMTAKA?…

Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam, Mlinda mlango, Juma Kaseja Juma ameamua kuwasilisha barua kwa uongozi wa klabu yake ya Yanga, golikipa huyo wa zamani...

MAMBO MUHIMU, POPPE ANATAKIWA KUYAFANYA SIMBA SC…

Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam, Wakati alipotangaza kuwa Simba SC itapeleka barua kwa mahasimu wao, Yanga SC ili kumnunua kiungo-mshambulizi, Saimon Msuva, Zacharia Hans...

MAREFA HAWA WAJIANDAE KWA LOLOTE TFF KESHO

Na Bertha Lumala, Dar es Salaam Wakatui ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) imesimama wa kwa siku takriban 50, Kamati ya Waamuzi ya...

EXCLUSIVE: JERRYSON TEGETE ‘NINA FURAHA KUBWA YANGA SC’

Marcio Maximo alimuinua katika benchi mshambulizi, Jerryson Tegete na kumuingiza uwanjani kuchukua nafasi ya kiungo-mshambulizi, Mrisho Ngassa katika dakika ya 69 ya mchezo wa...

NDITI; ‘ HADI KESHO, WACHEZAJI KAMA MTIRO WANAHITAJIKA STARS’.

Akiwa na uzoefu wa kuichezea timu ya Taifa ya Tanzania kwa muda wa miaka saba mfululizo, kiungo na nahodha wa viongozi wa ligi kuu,...

‘PHIRI ALIKUWA ‘JICHO TULIVU’ KATIKATI YA DHORUBA SIMBA SC’

Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam, Kuingia katika vitabu vya historia kama kocha pekee kuiongoza timu ' mwanzo-mwisho' kutwaa ubingwa wa ligi kuu Tanzania Bara...

SAIMON MSUVA ANAPOGONGANISHA VICHWA VYA YANGA, AANZE KIKOSI CHA KWANZA KATIKA MFUMO GANI?

Saimon Msuva alitokea benchi na kuifungia timu yake mabao mawili katika mchezo wa ligi kuu tanzania bara kati ya yanga sc na jkt mgambo....

AZAM FC IKUBALI KUWATOA KAFARA BAADHI YA WATU ILI ISONGE MBELE, KALLY AMEFUKUZWA KWA...

Kally Ongalla alifukuzwa kazi wiki iliyopita katika klabu ya Azam FC. Taarifa ambazo zilitolewa kuwa kocha huyo anakwenda kujiendelea kimafunzo si za kweli...

STORY KUBWA