Makala

Home Makala

MAMBO MAZURI YANAHITAJI SUBIRA

A Na Amplifaya Amplifaya NILICHOJIFUNZA na kukigundua kuhusu sisi mashabiki wa Tz kiukweli huwa hatuna uvumilivu na tunapenda mafanikio ya hapo kwa papo. Hatunaga subira. Tumekuwa tukihukumu...

JOE HART NA NYOTA WENGINE WALIOPITIA MASAHIBU YA PEP GUARDIOLA

Ni muda mfupi tu umepita tangu kocha mpya wa Manchester City kuanza kukitengeneza kikosi chake upya na kuingiza falsafa zake. Mara nyingi Guardiola anapoanza...

MAJEMBE YALIYOKUZWA OLD TRAFFORD NA KWENDA KUPATA MAFANIKIO NJE YA JIJI LA MANCHESTER

Na Salym Juma Nikiamini wewe ni mzima wa afya, karibu sana katika ukurasa huu ambao unakupa habari za kuvutia kuhusu michezo mbalimbali inayoendelea kila siku...

Shaffih Dauda awapa mbinu Yanga, Azam kuwanyofoa Al Merreick, BDF XI

Na Shaffih Dauda MWISHONI mwa juma hili wawakilishi wa Tanzania bara katika michuano ya kimataifa barani Afrika, Azam fc na Yanga wanacheza mechi za marudiano...

MABINGWA WA LIGI KUU ZA SOKA ULAYA MSIMU WA 2014/2015.

Na Anwar Binde. CHELSEA nchini Uingereza. Siku chache zilizopita wamenyakua taji la Ligi Kuu ya soka nchini Uingereza baada ya kuifunga Crystal Palace kwa bao...

KUELEKEA FAINALI YA KLABU BINGWA ULAYA

Na Anwar Binde. Klabu Bingwa Ulaya inaelekea ukingoni ikiwa imebakiza mchezo moja wa fainali utakao zikutanisha klabu ya Barcelona na Juventus. Moja kati ya timu...

Kiganja yupo kiganjani  mwa wanasimba

Na Hemed Kivuyo Mkutano mkuu wa dharura wa wanachama wa Simba uliofanyika hivi karibuni jijini Dar es salaam umemweka kiganjani Katibu Mkuu wa Baraza la...

MZEE SAMATTA: NITAISHANGILIA YANGA KWA MAZEMBE IIBEBE SIMBA

Na Lasteck Alfred NI mnazi wa Simba, lakini mzee Ally Samatta kesho Jumanne atakuwa shabiki wa Yanga wakati mabingwa hao wa Bara watakapoikaribisha TP Mazembe. Unajua...

Kabla ya Manchester derby, wafahamu wachezaji 7 waliowahi kucheza Man United na Man City

Ni marachache kushuhudia wachezaji kuhamia kwenye klabu hasimu hususan kama timu ni za mji mmoja. Lakini tangu Bob Milarvie alipovichezea vilabu vyote vya Manchester...

STORY KUBWA