Makala

Home Makala

UCHAMBUZI: Kilichotokea PSG vs Barcelona

Mara ya mwisho Barcelona kuondolewa kwenye hatua ya 16 ilikuwa dhidi ya Liverpool, miaka kumi iliyopita. Inawezekana kabisa hata sasa safari ikawa imeiva, Inawezekana...

PSG vs Barcelona…uchambuzi

Usiku mzuri unarejea, usiku wa kipekee, usiku unaowaweka watu wote wapenda soka sehemu moja. Hakuna asiyetaka kuona PSG ya Unai Emery dhidi ya akili...

Mipango ya mmiliki wa Singida United kuelekea VPL msimu ujao

Baada ya timu ya Singida United kupanda ligi kuu Tanzania bara, mmiliki wa timu hiyo Yusuf Mwandami ameibuka na kuweka bayana baadhi ya mikakati...

Huyu ndio Idd Cheche ‘ngariba’ wa Yanga na Simba

Mwaka 2016 mwishoni haukuwa mzuri kwa Azam FC pamoja na mwalimu wao raia wa Hipania waliotimuliwa ktukana na matokeo mabovu ya timu hiyo katika...

‘Wanapokuja walimu wa kigeni, wazalendo tunawekwa kando’ – Idd Cheche

Na Yahaya Mohamed Kama unakumbuka, juma lililopita nilikuletea sehemu ya kwanza ya makala inayomhusu kocha wa Azam FC Idd Cheche ikisimulia mambo mbalimbali kuhusu kocha...

EL CLASICO: MADRID IKIMKOSA BALE – BARCA WANA SUAREZ

Na Baraka Mbolembole, Leo Messi alifunga ‘ Hat-trick’ katika mchezo wa mwisho wa mahasimu wa soka la Hispania. El Clasico ni mechi kubwa zaidi ya...

Unatamani Kumsamehe Suarez? Isome Safari yake ya Upendo na Machozi.

Hii ni stori kuhusu mwanaume ambaye pengine ndiye straika bora zaidi duniani kwa sasa. Anaitwa Luis Suarez, yupo Barcelona na ni yeye huyu ambaye...

Jicho la 3: Sababu 3 za kushuka kwa soka la Morogoro licha ya vipaji...

Na Baraka Mbolembole Mawenzi Market inakaribia kupanda daraja-kutoka ligi daraja la Pili hadi  ligi daraja la kwanza Tanzania Bara msimu ujao. Polisi Moro FC inaweza kurejea ligi kuu...

VPL: Roundups; Hivi ndivyo ligi kuu Tanzania Bara ilivyo kuelekea michezo ya...

Na Baraka Mbolembole,   Kuna mechi kadhaa ambazo zitakuwa na mvuto mkubwa katika michezo ya mzunguko wa tano wa ligi kuu Tanzabia Bara, msimu huu. Timu...

SAHAU KUHUSU DIEGO COSTA – DI MARIA NDIO MCHEZAJI BORA EPL MPAKA SASA

By Aidan Charlie Seif Mechi saba tayari zimechezwa na kila timu tukielekea katika mechi za kimataifa, ebu tuangalia nin nani amekuwa mchezaji bora wa ligi...

STORY KUBWA