Makala

Home Makala

United watarajie nini kwa Victor Lindelof?

Kutoa kiasi cha euro 30.7m kumnunua mlinzi tena mwenye umri wa miaka 22 sio jambo dogo lakini Manchester United hawakujali na wametoa kiasi hicho...

Naamini Manula atakuwa na wakati mgumu kuziba pengo la Kaseja Simba

Na Baraka Mbolembole GOLIKIPA, Aishi Manula, walinzi wa pembeni, Shomari Kapombe na Jamal Mwambeleko, na mshambulizi, John Bocco wamesajiliwa Simba SC wakati huu wa usajili...

Mambo 5 ya kuangalia kabla ya kuhukumu mchezaji mmojammoja wa Stars – Shaffih Dauda

Matokeo ya mechi kati ya Stars dhidi ya Lesotho yaliwakatisha tamaa watu wengi sana, baada ya mechi ya nimefuatilia maoni ya wadau wengi sana...

Wachezaji ghali zaidi wa kihispaniola – Morata kuandika rekodi mpya ya usajili

Kuelekea kukamilisha usajili wa kujiunga na Manchester United akitokea Real Madrid, Alvaro Morata ataingia kwenye vitabu vya rekodi vya usajili nchini Hispania kwa kuwa...

Stars itapigwa nyingi vs Uganga kwa beki ya Banda/Mbonde, Samatta ni namba kumi…’

Na Baraka Mbolembole WAKATI alipokutana na waandishi wa habari kwa mara ya kwanza baada ya kutangazwa rasmi kubeba mikoba ya kuiongoza timu ya Taifa ya...

Usajili: Man Utd imetumia mara 14 ya Bajeti ya mwaka ya Wizara ya Michezo...

Klabu ya Manchester United jana usiku ilitangaza kufikia makubaliano na klabu ya Benfica juu ya uhamisho wa beki Victor Lindelof kwa ada ya uhamisho...

Kama ilikupita Ngumu Kumeza ya Sports Extra June 9, 2017

Safari ya kwenda Gabon haikuwa rahisi jamani, huenda wale vijana waliyaona aliyoyaona Sinbad kwenye safari zake saba. Waliondoka waliondoka wakiwa na umri mdogo lakini...

Ngasa anaweza kendelea kuibeba Yanga, lakini ni usajili wa Lwandamina au kina Mr. Kazinyingi?

Na Baraka Mbolembole USAJILI wa Mrisho Ngasa kutoka Mbeya City FC na kujiunga Yanga SC unaweza 'kufurahiwa' wanachama/wapenzi wengi wa mabingwa hao wa kihistoria Tanzania...

Azam wataweza kuishi wanachokiamini?

Azam FC imeanza kuboresha kikosi chake baada ya leo Juni 5, 2017 kuingia mkataba na mshambuliaji Waziri Junior kutoka Toto Africans ambayo imeshuka daraja,...

‘Simba inapaswa kuachana na Omog na kumtazama mkali huyu wa mbinu’

Na Baraka Mbolembole NAAMINI moja kati ya mabadiliko muhimu katika kikosi cha Simba SC ni kuachana na kocha wake Mcameroon, Joseph Omog. Licha ya kuisaidia Simba...

STORY KUBWA