Maajabu ya Brazuka

Home Maajabu ya Brazuka

Eliaquim Mangala ajiunga rasmi na Man City kutoka Porto.

Manchester City imefanikiwa kumsajili beki raia wa Ufaransa Eliaquim Mangala kutoka klabu ya FC Portokwa ada ya paundi milioni 32.. Beki huyo mwenye umri...

ROGER MILLA MCHEZAJI ALIYEFUNGA GOLI KWENYE KOMBE LA DUNIA AKIWA NA UMRI MKUBWA ZAIDI

Leo hii mnamwita Samuel Etoo kikongwe? Hamjawai kusikia kuhusu Roger Milla. Huyu jamaa ni kikogwe ambaye ameweka historia kwenye kombe la dunia hadi leo...

HII NI REKODI YA KOCHA WA YANGA KWENYE KOMBE LA DUNIA

Mchezaji wa zamani Ernie Brandts aliyewahi kuwa kocha wa Yanga anashikilia rekodi ya tofauti sana kwenye mechi za kombe la dunia. Huyu jamaa ni...

HII NDIYO FAINALI YA KOMBE LA DUNIA ILIYOSHUHUDIA MAGOLI MENGI ZAIDI HADI LEO

Hivi unajua kama fainali ya kombe la dunia la mwaka 1958 ndiyo ilishudiwa kufungwa magoli mengi zaidi hadi leo. Kwenye mechi hiyo ya fainali...

HUYU NDIYE MCHEZAJI MWENYE REKODI YA KUFUNGA MAGOLI MENGI KWENYE MECHI MOJA YA KOMBE...

Jina lake ni Oleg Salenko raia wa Russia ambaye hadi leo bado rekodi yake haijavunjwa na chezaji yoyote kwenye michuano ya kombe la dunia....

Foleni ndefu ya kuingia uwanjani yawachelewa mashabiki kuwahi mechi…

   BRASILIA, Brazil – Maelfu ya mashabiki walikosa sehemu ya mchezo ambao Uswizi iliifunga Ecuador mabao 2-1 kwenye jiji la...

Pekerman apata kura 400,000 za Uraisi pamoja na jina lake kutokuwa miongoni mwa wagombea.

Jose Pekerman amepata jumla ya kura 400,000 kwenye uchaguzi mkuu wa kumchagua raisi wa nchi ya Colombia pamoja na kutokuwa miongoni mwa majina ya...

Mabao 10 ya mapema zaidi kwenye Kombe la Dunia

Hakan Sukur (2002): 11 seconds Vs South Korea Vaclav Masek (1962): 16 seconds Vs Mexico Ernst Lehner (1934): 25 seconds Vs Austria Bryan Robson (1982): 27 seconds Vs France Clint Dempsey...

HUYU NDIYE MCHEZAJI ALIYECHEZA KOMBE LA DUNIA AKIWA NA MIAKA 17

  Mchezaji Norman Whiteside ndiye anayeshikilia rekodi ya kucheza kombe la dunia akiwa na umri mdogo kuliko wachezaji wote. Hadi leo rekodi hiyo haijavunjwa na...
473,565FansLike
169,928FollowersFollow
72,120FollowersFollow