Thursday, September 20, 2018

SERIE A

Home Ligi SERIE A

Udhamini wa Jezi kufikia€1 billion – EPL kiboko, Spain yashuka kimapato

Udhamini wa jezi za vilabu katika ligi kubwa sita barani ulaya kwa sasa  una thamani ya 830 million euros na inakaribia kufikia €1 billion...

Mpango wa Real Madrid kumsajili upya Morata na kumuuza kwa faida aidha Bayern or...

Real Madrid wana mpango kabambe wa kushughulikia suala la usajili wa Alvaro Morata. Lakini sio mpango ambao mashabiki wao wengi walikuwa wakiutegemea.    Baada kuonyesha...

AS Roma VS Inter Milan…battle ya kucheza UEFA live on Startimes.

Boss wa Inter Milan Roberto Mancini anaamini kwamba mechi yao dhidi ya Roma kwenye uwanja wa Stadio Olimpico inawrza kuleta matumaini mazuri kwa club...

Paul Pogba na mkataba mnono wa zaidi ya bilioni 9.6 kwa msimu.

Paul Pogba jana alisherekea birthday yake akitimiza miaka 23 akiwa kwenye kiwango kizuri na club yake ya Juventus.Leo usiku pia anatarajiwa kucheza sehemu kubwa...

Paul Pogba aonyesha style mpya ya nywele kwa ajili ya mechi ya Bayern.

Kesho kutakua na mechi kali kati ya Bayern Munich Vs Juventus ambapo itaamua club gani kati ya hizi mbili zisonge mbele kwenye hatua inayofuata. Kama...

Jua muda na channel utakazo angalia Live Serie A weekend hii kwenye Startimes.

Kama kawaida Startimes wanaendelea kukupa uhondo wa mechi mbalimbali kutoka kwenye ligi kali barani Ulaya hadi Asia. Kama ulikua hujui ni kwamba Super League...

BUFFON AVUNJA REKODI ILIYOISHI KWA MIAKA 22

Golikipa wa Juventus Gianluigi Buffon ameivunja rekodi ya Dino Zoff ya kucheza dakika 903 bila kufungwa goli ndani ya Serie A. Nyota huyo wa Italia...

GATTUSO ATAKA KIBARUA OLD TRAFFORD

Kiungo wa zamani wa AC Milan Gennaro Gattuso ameweka wazi kwamba anaitaka kazi ya ukocha kwenye klabu ya Manchester United. Kwasasa anainoa Pisa ya...

Real Madrid vs AS Roma: Madrid kuvunja mwiko dhidi ya Waitaliano na Kufuzu Robo...

Real Madrid CF inakutana na AS Roma leo katika mchezo wa pili wa raundi ya 16 bora wakiwa wameshaingiza mguu mmoja ndani kwenye robo...

Hawa ni mastaa wa muziki 13 na club soka wanazoshabikia.

Msanii Rihanna alisafiri hadi Brazil kwenda kuangalia fainali za kombe la dunia na baada ya Ujerumani kushinda aliungana nao kwenye sherehe za kushangilia ubingwa...

STORY KUBWA