SERIE A

Home Ligi SERIE A Page 2

Simba vs Mtibwa, Chelsea vs Arsenal, Chievo vs Juventus, Jumamosi flani ivi …….

Watoto wa mjini wanasema Jumamosi flani ivi amazing, baaasi hii leo ndio Amazing haswa kwa sisi watu wa soka na remote hazichezi mbali na...

ICARDI, PERISIC, WAVUNJA REKODI YA JUVE SERIE A 

Inter Milan walitoka nyuma na kuwatandika Juventus katika mchezo mkali na wa kusisimua wa derby d'Italia. Stephan Lichtsteiner aliwapa Juve goli la uongozi dakika ya...

BAADA YA KUVUNJA MKABA NA INTER MILAN, KLABU YA EPL YAMFUKUZIA NEMANJA VIDIC

Klabu ya Aston Villa ya England imetoa offer kwa Nemanja Vidic kumsaini kama mchezaji huru baada ya nyota huyo wa zamani wa Manchester United...

HATARI: Deni la Juventus laongezeka mara mbili

Juventus jana wametoa takwimu zao za mapato na matumizi ya mwaka ulioshia mwezi June. Repoti hiyo inaonesha kuwa deni la klabu hiyo limeongezeka mara...

Baada ya mechi 4 tu, Cr7 aanza madai mapya Juventus

Kuishi na jogoo ni tofauti na kuishi na kifaranga, hilo utaliamini ukianza kufuatilia maisha ya nyota mpya wa Juventus Cristiano Ronaldo ambaye amehamia msimu...

Higuain awaonyesha Arsenal wanachokikosa – Avunja rekodi ya ufungaji ya miaka 66 Serie A

Miaka takribani mitatu tangu uhamisho wake wa kwenda Arsenal kufeli mshambuliaji GONZALO HIGUAIN ameandika historia ya ufungaji katika ligi kuu ya Serie A. Mshambuliaji huyo...

Gonzalo Higuin kwenda Chelsea? Wakala wake ametoa majibu

Siku nyingine ya mwezi November imekuja na story nyingine ya usajili barani ulaya. Story ya leo inaihusisha klabu ya Chelsea - mwandishi wa habari wa...

Mario Balotelli atoa boko jingine.

Mchezaji Mario Balotelli kutoa maboko ni kawaida yake au unaweza kusema yeye ni mtu wa vituko mara nyingi sana. Sasa kwa nia njema lakini hapo...

JUVENTUS BINGWA SERIA A

Juventus imeshinda taji la Serie A kwa mara ya tano mfululizo! Ushindi wa bao 1-0 ilioupata Roma dhidi ya Napoli leo umeipa ubingwa wa Scudetto...

Juventus wamchanganya Zlatan

Hii ni sehemu ya saba ikiwa ni mwendelezo wa makala kuhusu Historia ya Maisha ya Zlatan. Baada ya migogoro ya Muda mrefu Ajax Zlatan atimkia...

KAMA USAJILI WA EURO MIL 90 WA HIGUAIN JUVE NI KWA AJILI YA UEFA,...

Na Mahmoud Rajab Pesa, pesa, pesa. Pesa ni kitu cha ajabu sana hapa ulimwenguni. Inaweza kufanya chochote kile kwa mantiki ya kutimizwa matakwa fulani. Katika...

Paul Pogba aonyesha style mpya ya nywele kwa ajili ya mechi ya Bayern.

Kesho kutakua na mechi kali kati ya Bayern Munich Vs Juventus ambapo itaamua club gani kati ya hizi mbili zisonge mbele kwenye hatua inayofuata. Kama...

KOCHA WA AC MILAN AIPONDA CLUB YAKE KWA KUFANYA MAKOSA MENGI

Moja ya mechi iliyoteka macho ya watu siku ya Jumamosi Nov 21 ni kati ya Juventus Vs AC Milan ambapo Juve ilishinda kwa magoli...

TOTTI ADHIHIRISHA NG’OMBE HAZEEKI MAINI

Story kubwa kwenye ligi ya Serie A ni mfalme wa AS Roma Francesco Totti kufunga goli la ushindi kwa timu yake alipotokea benchi kuchukua...

GATTUSO ATAKA KIBARUA OLD TRAFFORD

Kiungo wa zamani wa AC Milan Gennaro Gattuso ameweka wazi kwamba anaitaka kazi ya ukocha kwenye klabu ya Manchester United. Kwasasa anainoa Pisa ya...

CEO wa Juve athibitisha klabu yake ndio itamlipa Raiola $30m kwenye mauzo ya Pogba

Mkurugenzi mkuu wa  Juventus Giuseppe Marotta amethibitisha kwamba wakala wa Paul Pogba atalipwa kiasi cha 27 million euros ($30 million) kama malipo yake kutoka...

NAPOLI DHIDI YA AS ROMA NI ZAIDI YA GEMU.

Ni wikend nyingine tena ambapo Ligi Kuu ya soka nchini Italia maarufu kama Serie A itaendelea tena kwa siku za kesho,jumapili na siku ya...

AC Milan inampeleka mchezaji huyu mahakamani kwa kuwaongopea umri.

Wachezaji wa Africa mara nyingi huwa wanajikuta kwenye tatizo la kudanganya umri wakiwa wanataka kucheza Ulaya. Yusupha Yaffa ni mchezaji wa Gambia ambae alifanikiwa kuiongopea...

Video: HUYU NDIYE MRITHI WA POGBA NDANI YA JUVENTUS

Unadhani kama kuondoka kwa Paul Pogba kwenye klabu ya Juventus ni pengo kwa mabingwa hao wa Serie A, basi fikra zako si sahihi kwa...

Liverpool kwa Allison Becker safi lakini Chelsea kwa hu Kepa hapana aisee mmeibiwa!

Kocha wa Manchester United Jose Mourinho wakati United wakimnunua Pogba alishambuliwa sana kwa bei aliyomnunulia lakini baadae akasema ni jambo la kawaida sana na...
471,165FansLike
1,419,248FollowersFollow
65,946FollowersFollow

Instagram