Monday, September 24, 2018

SERIE A

Home Ligi SERIE A

BUFFON KA-POST UJUMBE TWITTER KUHUSU RANIERI NA LEICESTER

Gianluigi Buffon amethibitisha kwamba yeye ni professional, hiyo ni baada ya kufurahia mafanikio aliyoyapata kocha wake wa zamani Claudio Ranieri kwa kuiwezesha Leicester City...

Pogba azungumzia kilichotokea kati yake na Messi usiku wa Ballon d’Or.

Kwenye usiku wa Ballon d'Or, Paul Pogba alitajwa kwenye kikosi bora cha Ulaya akiwemo na wachezaji wengine bora kutoka ligi mbalimbali. Paul Pogba kwa mara...

Je, Inter itafanikiwa kuuvunja mfupa wa Napoli uliodumu kwa miaka 18 sasa.

Usiku wa leo Napoli itawakaribisha Inter kwenye mchezo mgumu wa Serie A kwenye dimba la San Paolo huko kusini mwa nchi ya Italia katika...

BUFFON KWENYE UBORA WAKE AINYIMA USHINDI AC MILAN (Video)

Kwa namna mambo yanavyokwenda kwa miaka ya hivi karibuni, si jambo la kushangaza Juventus kuitungua AC Milan kwa bao 2-1 kwenye uwanja wa San...

Diego Maradona amtetea Gonzalo Higuain

Rais wa Napoli Aurelio De Laurentiis alisema kwamba Higuain amezidisha uzito wake kutoka kwa ule wa kawaida tuliouzoea. Rais huyo alisema, "Inabidi apunguze kilo...

Paul Pogba na mkataba mnono wa zaidi ya bilioni 9.6 kwa msimu.

Paul Pogba jana alisherekea birthday yake akitimiza miaka 23 akiwa kwenye kiwango kizuri na club yake ya Juventus.Leo usiku pia anatarajiwa kucheza sehemu kubwa...

STORY KUBWA