Sunday, September 23, 2018

SERIE A

Home Ligi SERIE A

Uchambuzi wa kina kuhusu mechi bora ya kesho kati ya Juventus Vs Napoli by...

Kesho kwenye Series A kutakua na mechi ambayo inatajwa kuwa bora zaidi kwenye msimu huu kati ya Juventus Vs Napoli. Sasa huu ni uchambuzi...

ZANETTI ATOA YA MOYONI JUU YA NANI MKALI KATI YA MESSI NA MARADONA

Mjadala juu ya yupi ni bora kati ya Lionel Messi na Diego Maradona umekuwa ukiwasumbua watu vichwa kwa miaka kadhaa sasa, lakini mchezaji wa...

UBAGUZI WA RANGI WAAHIRISHA MECHI SERIE A

Mechi ya Serie A kati ya Lazio dhidi ya Napoli iliahirishwa baada ya kutokea vitendo vya ubaguzi wa rangi vlivyokuwa vikifanywa na mashabiki wa...

ANGALIA MAPOKEZI YA AINA YAKE ALIYOPEWA EL SHAARAWY KWENYE KLABU YAKE MPYA

Mshambuliaji nguli wa AC Milan Stephan El Shaarawy amekamilisha uhamisho wake wa mkopo wa kujiunga na miamba mingine ya soka la Italia klabu ya...

BAADA YA KUVUNJA MKABA NA INTER MILAN, KLABU YA EPL YAMFUKUZIA NEMANJA VIDIC

Klabu ya Aston Villa ya England imetoa offer kwa Nemanja Vidic kumsaini kama mchezaji huru baada ya nyota huyo wa zamani wa Manchester United...

GONZALO HIGUAIN HAKAMATIKI SERIE A

Juzi Jumapili, mshambuliaji wa Napoli na timu ya taifa ya Argentina Gonzalo Higuain aliifungia timu yake ya Napoli magoli mawili katika ushindi wa bao...

Mario Balotelli atoa boko jingine.

Mchezaji Mario Balotelli kutoa maboko ni kawaida yake au unaweza kusema yeye ni mtu wa vituko mara nyingi sana. Sasa kwa nia njema lakini hapo...

AC Milan inampeleka mchezaji huyu mahakamani kwa kuwaongopea umri.

Wachezaji wa Africa mara nyingi huwa wanajikuta kwenye tatizo la kudanganya umri wakiwa wanataka kucheza Ulaya. Yusupha Yaffa ni mchezaji wa Gambia ambae alifanikiwa kuiongopea...

Video: Huyu ndio Fellipe Anderson – Mbrazil Ambaye Anatajwa Kuelekea Old Trafford

[youtube https://www.youtube.com/watch?v=IFxaE79gXz0] Hatimaye dirisha la usajili limefunguliwa rasmi barani ulaya na tetesi za usajili ndio habari kuu katika kurasa za michezo za magazeti mbali...

UNAJUA NINI KIMETOKEA KATIKA SERIE A RAUNDI YA 16??UNGANA NAMI…

Mchezo wa jana kati ya SSC Lazio dhidi ya Sampdoria ulihitimisha raundi ya 16 ya Ligi Kuu ya soka nchini Italia maarufu kama Serie...

STORY KUBWA