Saturday, September 22, 2018

SERIE A

Home Ligi SERIE A

Juve yaponea tundu la Sindano kwa Inter – Penati zawabeba. Fainali sasa vs AC...

Aibu nusra iwakumbe wakubwa usiku wa kuamkia leo huko Italia ndani ya Jiji la Milan. Mabingwa watetezi wa kombe la Coppa Italia Juventus leo wameepuka...

Diego Maradona amtetea Gonzalo Higuain

Rais wa Napoli Aurelio De Laurentiis alisema kwamba Higuain amezidisha uzito wake kutoka kwa ule wa kawaida tuliouzoea. Rais huyo alisema, "Inabidi apunguze kilo...

Gonzalo Higuan akatisha shereke za goli la Fiorentina baada ya sekunde 9.

Jana imechezwa mechi kati ya Napoli Vs Fiorentina ambayo iliishia kwa magoli 1-1. Kwenye msimamo wa ligi Napoli ipo namba mbili na points 58...

Star wa Napoli Lorenzo Insigne amevamiwa na jambazi na kuombwa kitu hiki.

Kwenye ligi ya Serie A ambayo inaonekana Live kupitia king'amuzi cha Startimes imeshudia mchezaji Lorenzo Insigne akifunga mara 11 kwenye mechi za msimu huu. Mchezaji...

Paulo Dybala azungumzia alivyozitosa AC Milan na Inter.

Kwasasa hivi club nyingi zinatamani kuwa na mchezaji mdogo na mwenye kasi na uwezo wa kufunga kama Paul Dyabala. Lakini kabla ya kujiunga na...

YAJUE MAMBO 10 KUHUSU JIWE LA VETO LA NCHINI ARGENTINA

Na Athumani Adam Taifa la Argentina limejaliwa kuwa na vipaji vingi vya soka, lakini kwenye nafasi ya ushambuliaji  wanatisha zaidi. Wanatisha kuanzia enzi za Diego...

MSN Is On Fire: Yazipita timu zaidi ya 90 Ulaya Kwa Ufungaji Msimu Huu...

Vijana watatu wa Ki-Amerika ya Kusini wa klabu ya BARCELONA Lionel Messi, Luis Suarez and Neymar wameendelea kuweka rekodi tofauti za ufungaji kila wanapocheza. Mpya...

BERLUSCONI, MIAKA 30 MILAN, PAUNI BILION 1 ZA USAJILI, MATAJI 5 YA ULAYA

Silvio Berlusconi ambaye ni Waziri Mkuu wa zamani wa Italia ameweka wazi kuwa ametumia pauni bilioni 1 katika kipindi chake cha urais katika klabu...

Connection mpya ya Paul Pogba na Manchester City.

Uhusiano kati ya kocha na mchezaji unachangia sana mchezaji kufurahia maisha ya kwenye club husika. Pia unachangia hata ku-influence mchezaji huyo kujiunga na club...

Pogba azungumzia kilichotokea kati yake na Messi usiku wa Ballon d’Or.

Kwenye usiku wa Ballon d'Or, Paul Pogba alitajwa kwenye kikosi bora cha Ulaya akiwemo na wachezaji wengine bora kutoka ligi mbalimbali. Paul Pogba kwa mara...

STORY KUBWA