Ligi

Home Ligi Page 5

Zahera Mwinyi kuchangia Yanga nauli ya ndege

Kocha mkuu wa Yanga Zahera Mwinyi yupo tayari kuongezea kiasi cha pesa kitakachopungua baada ya mashabiki na wadau wa timu hiyo kuichangia timu yao...

Simba full mipango mzee

Ni juzi tu Simba imefanikiwa kufuzu hatua ya makundi ya ligi ya vilabu bingwa Afrika, lakini tayari imeanza mikakati ya kuhakikisha inafanya vizuri katika...

Nini kinachomtesa Henry?

Thierry Henry hili ni jina maarufu sana katika ulimwengu wa soka la sasa. Vijana wengi sana wanaopiga soka Uingereza wana mtaja sana kama mmoja...

Yani unaambiwa Mkude kama ‘Vidal’

Show aliyosimamia Jonas Mkude kwenye mechi ya jana Simba vs Nkana shabiki ameamua kumpa jina la Vidal akifananisha uwezo wake na kiungo wa Barcelona...

Mzee Dalali awatumia salam Yanga

Baada ya Simba kufanikiwa kutinga hatua ya makundi ya ligi ya vilabu bingwa Afrika, mwenyekiti wa zamani wa Simba Hassan Dalali amewatumia salamu watani...

Solskjaer ni chaguo sahihi Man United

Manchester United ilikuwa imeachana na utamaduni wake, tangu Sir Alex Ferguson ameondoka walijaribu walikuwa wanajaribu kupata mtu ambaye atakuja kuindesha na kuijenga United katika...

“Mourinho mmoja sura tofauti”-Shaffih Dauda

Mourinho wa mwanzoni mwa miaka ya 2000, Mourinho wa Inter na Real Madrid na Mourinho aliyerudi Chelsea kwa mara ya pili na baadaye Manchester...

Yaliyomkuta Mourinho amejitakia mwenyewe

Maisha yanabadilika mazingira mpaka tabia, nchi zimebadili mengi na sasa tabia maisha zimeibuka, kasi ya mabadiliko imekuwa kubwa na hakuna tena anayetaka kuishi kwenye...

Bushiri amtimua Amri Said Mbao FC

Wakati jana Jose Mourinho akiachana na Manchester United, leo pia Amri Said ameachana na klabu ya Mbao FC ya Mwanza inayoshiriki ligi kuu Tanzania...

Shaffih Dauda, Geoff Lea wapishana kuhusu Pogba wa Mourinho

Ukiachana na Mourinho kupigwa chini mjadala mwingine ulioibuka kitaa ni kwamba kuna wachezaji walikuwa wanamchomesha Mourinho ili atimuliwe, Pogba anatajwa kuwa aliongoza mapambano kuhakikisha...

Nikkiwapili apigilia msumari Mourinho kutimuliwa Man United

Yamezungumzwa mengi sana kwenye mitandao ya kijamii, vijiweni na sehemu nyingine nyingi kuhusu Mourinho kupigwa chini na Manchester United. Nikkwapili ni shabiki 'lialia' wa Man...

Serengeti Boys yawapa kombe watanzania

Timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 17 imeshinda kombe la Ukanda wa COSAFA baada ya kuwafunga Angola katika mchezo wa fainali uliomalizika...

Alichosema Mwl. Kashasha kuhusu goli la Fei Toto

Asikwambie mtu, Fei Toto alifunga bonge la bao kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania bara Yanga vs Ruvu Shooting goli ambalo limewasisimua wengi. Sasa magoli...

Mourinho inatosha sasa

Hivi Mourinho alijua mashabiki wa United walikuwa kifua wazi kwenye mabanda umiza wakishindilia kwa kauli yao ile ya "MOU NDIO MASTA WA BIG MECHI,...

Uchambuzi kuelekea Manchester City Vs Everton,

Mchezo huu utapigwa katika dimba la Etihad Stadium, majira ya saa 15:30 jioni. . . Katika michuano yote Manchester City, dhidi ya Everton, wameshinda michezo miwili katika...

Mo Rashid matumaini kibao KMC

Mohamed Rashid anaamini kujiunga na KMC kutarejesha makali yake na baadaye kurudi Simba kupigania nafasi kwenye kikosi cha kwanza. "Namshukuru mwalimu wangu Patrick Aussems kwa...

Hivi kuna nini pale TFF?

Kila nikipita kitaa watu wananiuliza kwani pale TFF kuna nini? Mbona kila kukicha hivi mara vile...sasa hapa nilikuwa natoa maoni yangu kwa wadau walionidaka...

La Liga kuifaidisha Tanzania

Mwakilishi wa La Liga Tanzania Luis Cardenas leo amezungumzia maendeleo ya mchezo wa soka na  namna La Liga anavyochangia katika maendeleo hayo kuhakikisha mchezo...

Wachezaji waachwa kwenye mataa bila nauli

Wachezaji wa Nyundo FC inayoshiriki kombe la TFF wamejikuta wakitelekezwa na mwenyekiti wa timu Shabani Rashid wakiwa Sumbawanga mkoani Rukwa baada ya kutoka kwenye...

Yanga kuifungulia TFF kesi mbili

Kiongozi wa matawi ya Yanga Kaisi Edwin amesisitiza juu ya suala la kwenda mahakamani kuomba tafsiri ya uchaguzi wao kusimamiwa na kamati ya uchaguzi...
473,643FansLike
169,928FollowersFollow
72,600FollowersFollow