Wednesday, September 26, 2018

Ligi

Home Ligi

PICHA: SI RAHISI KUVUMILIA, HIVYI NDIVYO ZOUMA ALIVYOUMIA JANA KWENYE MCHEZO DHIDI YA MAN...

Beki wa Chelsea Kurt Zouma akipiga kelele kwa uchungu baada ya kupata jeraha kali la goli la kulia baada ya kutua vibaya wakati aliporuka...

Twite wa Yanga amesajiliwa timu moja na mchezaji wa Simba

Kiraka wa zamani wa Yanga Mbuyu Twite pamoja na kiungo wa zamani wa Azam FC Michael Balou wamesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia klabu...

JAMIE VARDY APONGEZWA NA MASTAA BAADA YA KUWEKA REKODI MPYA EPL

Mshambuliaji wa Leicester City ya nchini England, Jamie Vardy jana aliweka rekodi ya kipekee katika ligi kuu soka nchini humo baada ya kufunga goli...

Matokeo ya FA Cup – Na Ratiba ya Hatua Raundi ya 6 

Safari ya Guus Hiddink kuiongoza Chelsea kwa mara ya pili kutwaa kombe la FA Cup inazidi kupata mwanga baada ya jioni ya leo kuiadhibu...

LIGI YA UFARANSA BALAA, MONACO HATARINI KUSHUKA DARAJA PAMOJA NA KUWA YA PILI

Waswahili wana misemo yao, lakini hii ya ligi kuu nchini Ufaransa ni balaa. Klabu ya soka ya Monaco iko katika nafasi ya pili ya...

UMEIONA HII YA BEKI KUOKOA PENATI BAADA YA KIPA KUPEWA KADI NYEKUNDU? (Video)

Kuna tukio la aina yake limetokea kwenye mchezo wa soka kwenye ligi ya Ireland Kaskazini siku ya Jumamosi (jana) wakati wa pambano kati ya...

MASHABIKI WA ARSENAL WAME-REACT KWA MSHANGAO KUHUSU TETESI ZA MESSI KUICHAGUA ARSENAL

Hakuna club ambayo ina mashabiki ambao wanaichukua timu yao na kuipenda pia kama mashabiki wa Arsenal. Baada ya tetesi kusambaa kwenye mtandao leo kwamba...

NENO LA MAVUGO KWA MASHABIKI WA SIMBA

Mshambuliaji mpya wa klabu ya Simba Leudit Mavugo amesema, anaamini klabu yake mpya itafanya vizuri katika msimu wa ligi kuu ya Tanzania bara ambao...

Lionel Messi au Cr7 yupi mkali? Ronaldinho naye ana jibu lake

Katika mahojiano ambayo nyota wa zamani wa Barcelona na timu ya taifa ya Brazil Ronaldinho Gaucho ameyafanya na jarida la SPORTS la Hispania ameongelea...

BAADA YA KIPIGO KUTOKA BARCELONA, BENZEMA AJIKUTA PEKEAKE MAZOEZINI

Mshambuliaji Karim Benzema jana Jumapili alitokea pekee kati ya wachezaji wa kikosi cha kwanza cha Madrid kufanya mazoezi baada ya kocha Rafael Benitez kuwapa...

STORY KUBWA