Ligi

Home Ligi Page 4

Ulimwengu vs Simba kwa mara ya kwanza

Baada ya draw ya makundi ya vilabu bingwa Afrika Simba imepangwa Kundi D ambapo ipo pia timu iliyomsajili mshambuliaji wa Tanzania Thomas Ulimwengu 'Buffalo'...

Ronaldo kuwavaa Sampdoria, Raisi wa Sampdoria aweka kiapo

Juventus Vs Sampdoria, mchezo huo utachezwa katika dimba la Allianz Stadium Torino, majira ya saa 14:30 mchana. Juventus wameshinda michezo nane kati ya michezo kumi...

Alliance inatafuta rekodi muhimu Shinyanga

Alliance FC leo itakuwa ugenini ikitafuta rekodi moja tu itakapocheza dhidi ya Stand United 'Chama la Wana' kwenye uwanja wa Kambarage mkoani Shinyanga. Rekodi inayotafutwa...

Unai atamuua Ozil kwa mwendo huu

Mezut Ozil, anapiga pasi kulia anapokea maelekezo kushoto. Ozil ni mmoja kati ya viungo namba 10 bora duniani. Anacheza taratibu sana utadhani kinyonga, lakini...

Chuji aikata maini Tanzania Prisons

Mechi nyingine kali siku ya leo ni Tanzania Prisons vs Coastal Union pale kwenye uwanja wa Sokoine Mbeya. Kuna kila sababu ya kuishuhudia hii game,...

Sio Van Djik pekee yake, tusiwe wachoyo

Nimeona mara kadhaa walio wengi wanamsifu sana Van Djik kuwa amekuwa mchezaji wa muhimu zaidi kwenye kikosi cha Liverpool. Bila shaka. Hakuna ubishi kuwa...

Simba imefungwa magoli ya ajabu!!

Simba imeondolewa kwenye mashindano ya kombe la TFF (Azam Sports Federation Cup) baada ya kufungwa 3-2 na Mashujaa FC ya Kigoma. Magoli yote matatu (3)...

Mwl. Kashasha amkingia kifua Dida

Simba imeondolewa kwenye mashindano ya kombe la TFF (Azam Sports Federation Cup) baada ya kufungwa 3-2 na Mashujaa FC ya Kigoma. Mchambuzi wa soka nchini...

Klopp dokta mwenye gundu, anayejaribu kutibu mikosi ya Liver

Liverpool mabingwa wa kufeli. Samahani kwa lugha isiyo rafiki kwao. Mara kadhaa Liverpool wamekuwa na msimu mzuri lakini mzimu wa kushindwa kumaliza mbio salama...

Ni Mauro Icard na Lorenze Insigne, Seria A hapatoshi leo

Leo Inter wanawakaribisha Napoli ndani ya uwanja wao wa Meazza mjaira ya saa 3 usiku. Inter imeshindwa kabisa kupata bao dhidi ya Napoli kwa dakika...

Macho yote kwa Ole Gunnar leo

Moja ya rekodi wanazoshikilia Man United ni kutokufungwa katika mechi walizocheza uwanja wa nyumbani Siku ya Boxing day ilikuwa mwaka 1978-1979. Mchezo huo walipigwa...

Zahera Mwinyi kuchangia Yanga nauli ya ndege

Kocha mkuu wa Yanga Zahera Mwinyi yupo tayari kuongezea kiasi cha pesa kitakachopungua baada ya mashabiki na wadau wa timu hiyo kuichangia timu yao...

Simba full mipango mzee

Ni juzi tu Simba imefanikiwa kufuzu hatua ya makundi ya ligi ya vilabu bingwa Afrika, lakini tayari imeanza mikakati ya kuhakikisha inafanya vizuri katika...

Nini kinachomtesa Henry?

Thierry Henry hili ni jina maarufu sana katika ulimwengu wa soka la sasa. Vijana wengi sana wanaopiga soka Uingereza wana mtaja sana kama mmoja...

Yani unaambiwa Mkude kama ‘Vidal’

Show aliyosimamia Jonas Mkude kwenye mechi ya jana Simba vs Nkana shabiki ameamua kumpa jina la Vidal akifananisha uwezo wake na kiungo wa Barcelona...

Mzee Dalali awatumia salam Yanga

Baada ya Simba kufanikiwa kutinga hatua ya makundi ya ligi ya vilabu bingwa Afrika, mwenyekiti wa zamani wa Simba Hassan Dalali amewatumia salamu watani...

Solskjaer ni chaguo sahihi Man United

Manchester United ilikuwa imeachana na utamaduni wake, tangu Sir Alex Ferguson ameondoka walijaribu walikuwa wanajaribu kupata mtu ambaye atakuja kuindesha na kuijenga United katika...

“Mourinho mmoja sura tofauti”-Shaffih Dauda

Mourinho wa mwanzoni mwa miaka ya 2000, Mourinho wa Inter na Real Madrid na Mourinho aliyerudi Chelsea kwa mara ya pili na baadaye Manchester...

Yaliyomkuta Mourinho amejitakia mwenyewe

Maisha yanabadilika mazingira mpaka tabia, nchi zimebadili mengi na sasa tabia maisha zimeibuka, kasi ya mabadiliko imekuwa kubwa na hakuna tena anayetaka kuishi kwenye...

Bushiri amtimua Amri Said Mbao FC

Wakati jana Jose Mourinho akiachana na Manchester United, leo pia Amri Said ameachana na klabu ya Mbao FC ya Mwanza inayoshiriki ligi kuu Tanzania...
473,622FansLike
169,928FollowersFollow
72,217FollowersFollow