Ligi

Home Ligi Page 3

JOHN TERRY ATABAKI CHELSEA MWISHO WA MSIMU?

John Terry anaonekana nampango wa kuendelea kusalia Chelsea kwa muda mrefu ujao hata baada ya kumaliza maisha yake ya soka. Kwasasa Terry ana miaka 35...

MECHI YA NDANDA VS YANGA YARUDISHWA NYUMA

Mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kati ya Ndanda FC ya Mtwara na Young Africans umerudishwa nyuma kwa siku moja na sasa...

UTANI NDANI YA UTANI, NI MURO VS MANARA

Mambo ya utani si jambo baya sana. Picha hii imesambaa mtandaoni, kwamba Msemaji wa Yanga, Jerry Muro anajiandaa kwenda Misri wakati Msemaji wa Simba,...

TOP 5 YA MASTAR WALIOSAJILIWA KWA MBWEMBWE EPL LAKINI WAMESHINDWA KUTAMBA

Memphis Depay (PSV Eindhoven kwenda MANCHESTER UNITED, paundi mil 25) Alianza kwa kasi nzuri lakini amekuwa na wakati mgumu kadri siku zinavyosonga mbele. Amekuwa akishutumiwa kwa...

ARSENAL MSIMU UNAANZA, KUNA KIPI CHA KUTARAJIA?

Na Richard Leonce Mimi si mpenzi sana wa usajili wa zimamoto wala usajili wa wachezaji ambao huwa wanakuta tayari ligi imeanza kwa maana ya kwamba...

ANGALIA KAMUSOKO ALIVYOIHAKIKISHIA YANGA USHINDI WA UGENINI (Video)

Yanga imejiweka kwenye mazingira mazuri ya kufuzu kwenye hatua inayofuata baada ya ushindi wa ugenini wa magoli 2-1 dhidi ya APR kwenye uwanja wa...

Kutoka Lisbon mpaka Milan: Mabadiliko yaliyotokea kwa Atletico Madrid na Real Madrid

Real Madrid na Atletico madrid kwa mara nyingine tena watakutana katika mchezo wa kuamua yupo ni bora barani ulaya, hata hivyo mengi yamebadilika tangu...

Ferguson awatoa Chelsea kwenye mbio za ubingwa EPL

Kocha wa zamani wa Manchester United Sir Alex Ferguson ameiondoa Chelsea katika mbio za ubingwa wa Premier League msimu wa 2016-17. Akifanya mahojiano maalum na...

UJIO WA GUARDIOALA NI SHUBIRI KWA BAADHI YA MAKOCHA NA WACHEZAJI, LAKINI NI FURAHA...

DAVID SILVA Ni moja ya wachezaji wachache wa Ligi Kuu England ambao wana uwezo wa kuendana na mfumo wa tiki-taka ambao kimsingi ndio mfumo anaoupenda...

SUAREZ APIGA BAO 4 MSN IKIREJEA ONLINE

Baada ya kupita kwenye kipindi cha ukame wa kutopachika magoli siku za hivi karibuni wakati form ya Barcelona ilipoyumba, Luis Suarez mara yake ya...

Baada ya kufungiwa, Wambura aibua mapya TFF

Ukimwaga mboga, namwaga ugali ni miongoni mwa misemo maarufu ya lugha ya Kiswahili ambao unaweza kutimia baada ya Makamu wa Rais wa TFF kufungiwa...

FAINALI YA FA CUP INAZIKUTANISHA MAN UNITED VS CRYSTAL PALACE BAADA YA MIAKA 26

Crystal Palace itakutana na Manchester United kwenye mchezo wa fainali ya kombe la FA May 21 mwaka huu baada ya kupambana kupata ushindi dhidi...

Utafiti: Messi nafasi ya 4, Ronaldo nafasi ya 23 list ya wachezaji bora wa...

Kuna list imetoka inayowahusu wakali wawili wa La Liga Cristiano Ronaldo na Lionel Messi, ambayo imeibua mijadala mikubwa. Umefanyika utafiti unaohusisha historia na takwimu za...

Taarifa kuhusu jeraha la Mkhitaryan

Baada ya kufunga goli moja la ushindi kwenye mechi dhidi ya Spurs, Mkhitaryan alitolewa nje baada ya kupata challenge kutoka kwa Danny Rose. Baada...

HII NDIYO KAULI YA CARLO ANCELOTTI KUHUSU CHELSEA

Kocha wa zamani wa klabu za AC Milan, PSG, Chelsea na Real Madrid, muitaliano Carlo Ancelotti ameelezea tatizo lililopo Chelsea hivi sasa huku akisema...

WAKATI, THOMAS ULIMWENGU AKIWA NJIA PANDA, JUMA LIUZIO KUCHEZA 8 BORA MABINGWA AFRIKA

Na Baraka Mbolembole Mshambulizi wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Juma Ndanda Liuzio anaamini kwamba ushindi wa 3-1 ugenini dhidi ya Stade Malien...

Mambo niliyoyaona kwenye game ya Chelsea vs Watford Stamford Bridge

Nimehatika kushuhudia mchezo wa Chelsea dhidi ya Watford mechi ambayo imemalizika kwa The Blues kushinda 4-2,watu wengi wameonesha wasiwasi kwamba huenda timu hiyo ikashindwa...

Full ratiba ya Mapinduzi Cup 2017 

Na Abubakar Khatib 'Kisandu', Zanzibar Timu zitakazoshiriki kombe la Mapinduzi msimu huu zinatarajiwa kupata asilimia kumi ya mapato ya uwanjani baada ya kulipiwa gharama zote...

BAADA YA EL CLASICO HII NDIYO IMEKUWA PICHA MAARUFU DUNIANI

Muda mfupi baada ya filimbi ya mwisho kupulizwa kwenye uwanja wa Nou Camp, hiyo picha Ilianza kusambazwa kwa kasi na ma-star wa Real Madrid...

Tambwe, Msuva wanaweza kufikia rekodi ya Ngassa, Bocco, Kipre?

Na Baraka Mbolembole KATIKA misimu 6 iliyopita ya Ligi kuu Tanzania Bara, Azam FC imetoa washindi watatu katika tuzo ya mfungaji bora VPL. Mrisho Ngassa...
471,185FansLike
1,420,362FollowersFollow
65,970FollowersFollow

Instagram