Wednesday, July 18, 2018

Ligi

Home Ligi

Buffon atundika daluga

Nahodha wa klabu ya Juventus, Giunluigi Buffon, ametangaza rasmi kuwa ataachana na soka mwisho wa msimu huu. kipa huyo aliyedumu na klabu hiyo kwa...

Kama Neymar hajamuelewa Ronaldo hatawaelewa waarabu

Umepata taarifa za Neymar kuwa mchezaji bora ufaransa? Daah hiki ni kioja kingine tena. Ukiacha kituko cha yeye kununuliwa bei ya kisiwa hili la...

Swansea 0-Southampton 1, timu nyingine Epl yashuka daraja

Kama ingekuwa bet baasi leo tungesema mkeka wa Mark Hughes umesoma, Manolo Gabbiadini ni kati ya washambuliaji ambao wanaonekana butu sana Southampton na tangia...

Southampton wawekewa sumu

Southmapton kwenye jaribio la mapinduzi. Mechi ya kufa na kupona ambapo itapigwa pale St Mary dhidi ya Swansea. Wikiendi hii Southampton aling’ang’aniwa na Everton...

Ribery amwaga wino, James siondoki ng’oo

Mshambuaji wa klabu ya Bayern munch, Frank Ribery, ameongeza mkataba mwaka wa mwaka moja na klabu hiyo utakao mfanya abaki klabuni hapo mpaka mwaka...

Warithi wa Wenger hawa hapa

Massimillano Allegri Kwa sasa yupo klabuni Juventus akipigana vikumbo na klyabu ya Napoli katika harakati za kutwaa ubingwa wua Series A. Ni kocha mwenye mafaniukio...

El classico Messi na Ronaldo nani kiboko?

Kwani mdau wewe upande gani? Upande wa La purga au Cr7 mnyamaa? Unaamini nani atafanya poa zaidi kati ya hawa miamba wa soka? Basi sawaa…....

El Classico: Barcelona wanatuondolea heshima ya soka letu, soka sio Vita

Mimi kama hasimu mkubwa wa barca na nikiwa kama nahodha wa timu nisingeweza kukubaliana hilo lakini kwa kuwa mimi ni mwanamichezo hakuna haja ya...

Tusimnafikie Iniesta huku tunamkebehi Salah

Iniesta amemaliza na Barcelona. Yupo sahihi kabisa. Barcelona ipo hivyo. Wana fadhila lakini hawana huruma. Umri ukienda hata kama kiwango chako ni kikubwa lazima...

Eti Mourinho hashindagi big mechi?

Na Priva ABIUD Ndani ya wiki saba Mourinho amebadili hali ya hewa. Amenyamazisha yale makelele yaliyokuwa yanaendelea kuhusu uwezo wake katika mechi kubwa. Msimu uliopita...

STORY KUBWA