Wednesday, September 19, 2018

Ligi

Home Ligi

“Ukicheza Simba, Yanga, ukaondoka wanasahau bado ni mchezaji mzuri”-Humud

Watu wengi wamekuwa wakitafsiri mchezaji aliyefanikiwa kucheza ligi kuu anaporudi ligi daraja la kwanza biashara yake inakuwa imekwisha, lakini kiungo mkongwe Abdulhalim Humud 'Gaucho'...

Dar yachekelea ‘utitiri’ wa timu VPL

Uongozi wa chama cha soka mkoa wa Dar es Salaam (DRFA ) chini ya mwenyekiti wake Almasi Kasongo unasherekea timu zake kuendelea kupanda ligi...

KMC kufanyiwa party kusherekea ligi kuu

Baada ya kusubiri kwa takribani miaka miwili hatimaye timu ya manispaa ya kinondoni kmc leo imefanikiwa kupanda ligi kuu tanzania bara baada ya kupata...

Chuji kaweka mezani faili la Coastal kupanda daraja

Kiungo mkomgwe wa soka nchini Athumani Idd 'Chuji'  amesema mechi za ligi daraja la kwanza ni ngumu na kuzifananisha na fainali. Chuji ameisaidia Coastal...

Costal Union imerejea VPL, kocha kaweka historia baada ya miaka 30

Hatimaye Costal Union ya Tanga imefanikiwa kurejea ligi kuu Tanzania bara kwa ajili ya msimu ujao (2018/19) baada ya kupata matokeo ya ushindi wa...

Pogba na mbinu mbovu za Mourinho zilivyoisadia Spurs

Manchester United wana tatizo juu ya Paul Pogba. Ni mchezaji muhimu ambaye bila uwepo wake ni shida, lakini pia anayefanya maisha kuwa magumu kwa...

Wababe wa Simba waishia mikononi mwa Singida Utd

Disemba 22, 2017 Simba ikiwa bingwa mtetezi wa kombe la shirikisho Tanzania bara ilivuliwa ubingwa na Green Warriors kwa kufungwa kwa mikwaju ya penati...

Usiyoyajua kuhusu ‘mnyama’ Pierre-Emerick Aubameyang

Haya ni baadhi ya mambo ambayo huenda huyajui kuhusu Pierre-Emerick Aubameyang, katika maisha mtoto hufuata matarajio ya wazazi na wazazi husaidia kwa kila hali...

Captain Gardner ameguswa na habari za Juma Nyoso

Tukio la juma Nyoso kumpiga shabiki baada ya mchezo wa Kagera Sugar dhidi ya Simba bado limeendelea kuibua mijadala mbalimbali kitaa, wapo ambao wanamlaumu...

Baada ya kusota dakika 180 bila ushindi, Yanga imeshinda

Baada ya kucheza mechi mbili za ligi bila ushindi, Yanga leo imejipoza kwa Ruvu Shooting kwa kuifunga bao 1-0 kwenye uwanja wa taifa. Yanga ilipoteza...

STORY KUBWA