Monday, September 24, 2018

Ligi

Home Ligi

UNAHAFAMU TOTTI ALILAZIMIKA KUTOA FEDHA KWA POLISI ILI KUMLINDA MTOTO WAKE

Imegundulika kuwa nyota wa klabu ya AS Roma Francesco Totti amekuwa akiwalipa Polisi kwa miaka miwili kuanzia mwaka 2008 na 2010 ili kumlinda mtoto...

UPANGAJI MATOKEO LIGI DARAJA LA KWANZA, MBIVU NA MBICHI KUJULIKANA KESHO

Kikao cha Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kitaendelea kesho Jumamosi saa 3 asubuhi katika ofisi za TFF zilizopo...

UNAJUA KWANINI OZIL HAJIANGUSHI UWANJANI? LEO KAWEKA KILAKITU HADHARANI

Mesut Ozil ameahidi kuwa kamwe hutomwona akijiangusha ama akijaribu kumdanganya mwamuzi pindi awapo uwanjani. Kiungo huyo mchezeshaji, ambaye yuko kwenye kiwango cha juu hivi sasa...

MGOSI, BARTHEZ, NGOMA DROO KUTIKISA NYAVU VPL

Musa Hassan Mgosi amefunga goli lake la kwanza kwenye msimu wa ligi ya Vodacom Tanzania bara ambao umehitishwa leo kwa timu zote kushuka viwanjani...

Azam FC kuanzia raundi ya  kwanza CAF

SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limepanga droo ya Kombe la Shirikisho Afrika (CC), inayoonyesha kuwa Azam FC inaanza kufungua dimba la michuano hiyo kwa...

Luis Suarez Hakuwa Chaguo la Kwanza la Usajili Barca – Kiongozi wa Barca afunguka

Mkurugenzi wa michezo wa zamani wa Barcelona  Andoni Zubizarreta amefunguka na kusema klabu yake iliamua kumsajili Luis Suarez kwa sababu chaguo lao la kwanza...

SCHOLES AMPA SOMO POGBA ILI KU-SHINE MAN UNITED

Kiungo wa zamani wa Manchester United Paul Scholes amemshauri Paul Pogba kufanya mambo yawe rahisi badala ya kumuiga staa wa Barcelona Lionel Messi. Mchezaji huyo...

FARID MUSA TAYARI KAPIMWA AFYA, ATASAINI DEAL SPAIN?

Habari njema kuhusu winger wa Azam FC na timu ya taifa ya Tanzania Farid Musa ni kwamba, leo amefanyiwa vipimo vya afya ili kujua...

Sababu 4 Kwanini Madrid Wanataka kumuuza James Rodriguez 

Kwa mara ya 3 mfululizo, James Rodriguez alizomewa na mashabiki wake wa Real Madrid. Mshambuliaji huyo wa Colombia alijikuta kwenye jicho la tatu la...

Usain Bolt na ndoto za soka…ameanza ku-train na Borussia.

Akiwa na umri wa miaka 30 na medali za dhahabu lakini bado anaishi na ndoto za kucheza soka la kulipwa tangu zamani. Bolt ambae...

STORY KUBWA