Friday, September 21, 2018

Ligi

Home Ligi

LOUIS VAN GAAL AMTAKA HARAKA KIKOSINI NYOTA WAKE WA ZAMANI

Kocha Louis Van Gaal wa Manchester United amemtaka mshambuliaji wake anayekipiga kwa mkopo katika klabu ya Borrusia Dortmund, mbeligiji Adnan Januzaj kurejea haraka kikosini...

Anthony Martial ameanza sherehe ya birthday yake kwa style hii

Leo mchezaji wa Manchester united Anthony Martial anatimiza miaka 20 ambapo amemaliza kipindi cha umri wa teenage akiwa kama most expensive teenage kwenye historia...

SCHWEINSTEIGER ATUPWA JELA YA FA

Kiungo wa Manchester United, Mjerumani Bastian Schweinsteiger 31, anakabiliwa na adhabu ya kufungiwa mechi tatu na chama cha soka England (FA) kutokana na kitendo...

FA YAMKUTA NA HATIA AGUERO, SASA KUPIGWA PINI MECHI TATU

Straika wa Manchester City Sergio Aguero amekutwa na hatia na Chama cha Soka England FA kwa kosa la kumpiga kiwiko beki wa West Ham...

Yaya Toure amepondwa kwa perfomance ya jana Vs Arsenal.

Yaya Toure licha ya kufunga goli pekee la Manchester City kwenye mechi ya jana dhidi ya Arsenal lakini baadhi ya watu wanasema alikuja na...

DIEGO COSTA ANAMJARIBU MOURINHO?

Bado hakieleweki kati ya kocha Jose Mourinho na mshambuliaji wa klabu ya Chelsea Diego Costa mara baada ya jana katika mchezo dhidi ya Tottenham...

GARY NEVILLE AGOMA RONALDO KURUDI MAN UNITED, AMTAKA MCHEZAJI HUYU

Legendari wa Manchester United, Gary Neville amesema hadhani kama ni sahihi kwa klabu kuangalia yaliyopita zaidi ya kuangalia mbele. Neville anasema haungi mkono suala...

ISLAM SLIMANI AFUNGUA UKURASA WA MAGOLI LEICESTER IKIUA 3-0

Leicester City wamerudi kwa kishindo baada ya wiki iliyopita kupewa kipigo cha mbwa mwizi na Liverpool kwa kuwafumua Burnley mabao 3-0. Islam Slimani, nyota wa...

Baada ya Gunners na Chelsea Kunyooshwa – Man City yaitoa kifua mbele EPL

Baada ya Arsenal na Chelsea  kutopata matokeo mazuri katika mechi za kwanza za hatua ya 16 bora ya michuano ya Klabu bingwa ya ulaya,...

KUELEKEA EL CLASICO…MESSI AMEFANYA MAZOEZI NA KIKOSI LEO.

Inawezekana labda tukamuona Lionel Messi kwenye mechi ya El Clasico kati ya Barcelona Vs Real Madrid siku ya Jumamosi. Watu wengi walikua wanalalamika kwamba...

STORY KUBWA