Wednesday, September 19, 2018

Ligi

Home Ligi

ZINEDINE ZIDANE AMEKATAA KUMFANANISHA MARTIAL NA THIERRY HENRY

Mchezaji wa zamani wa Monaco Anthony Martial ambae hivi sasa anachezea Manchester united amekua akifananishwa sana na Thierry Henry mchezoni. Lakini mkongwe Zidane amekataa kumfananisha...

CHELSEA HOI TENA…YAVULIWA UBINGWA NA STOKE CITY

Jose Mourinho ameendelea kuwa katika wakati mgumu katika kipindi hiki baada ya kikosi chake cha Chelsea kupoteza mchezo wa kombe la Capital One mbele...

NEYMAR PIGA GOTI, KAZI NI UNAFKI TU

Na Nicasius N Agwanda (Nicasius Coutinho Suso) Katika moja ya makala zangu, niliwahi kuandika hakuna lililo sawa katika dunia hii isiyo sawa. Niliandika  nikilenga hasa juu...

IKO WAZI KWA SASA…CRISTIANO RONALDO NI BIG BRAND ZAIDI YA MESSI

Cristiano Ronaldo ni mmoja kati ya chapa 10 zenye thamani kubwa duniani kwenye upande wa michezo, lakini kwenye hiii list Lionel Messi hayupo kabisa. Kutoka...

MESSI AELEZEA UADUI WAO NA CRISTIANO RONALDO

Kabla haujasoma hii story kumbuka kwamba hawa jamaa wanapeana mikono kwenye kila mechi ya El Classico ya La Liga ambapo wanakutana Real Madrid Vs...

VIDEO: BARCELONA YATHIBITISHA IPO VIZURI BILA MESSI, KAMA HUKUIONA MECHI ANGANGALIA MAGOLI YOTE HAPA

Soka sadi wanaloonyesha Barcelona unaweza kuona kila weekend kwenye La Liga ambapo wakiwa na mastaa wao huwa wanapiga soka safi sana.  Azam TV ndio...

ETI HAWA NDIO WACHEZAJI WATATU WANAOTABIRIWA KUVUNJA REKODI WALIZOWEKA MESSI NA RONALDO

Najua ni jinsi gani namna kulivyo na ugumu kuanzisha majadiliano haya, ukizingatia kwamba mastaa hawa wawili bado wana njaa ya mafanikio, lakini ishara zinaweza...

VIDEO: HAWA NDIO WANATABIRIWA KUWA WARITHI MESSI NA NEYMAR BARCELONA

Ukiwa unaendelea kuangalia vipaji vya sasa ambavyo vimepitia La Masia Academy kama Lionell Messi na wengine kupitia Azam TV ambayo inaonyesha live La Liga,...

Ikiwa atakutwa na hatia, hii ndio adhabu ya kifungo kwa Messi

Masaa 24 tangu ilipotoka taarifa kwamba mwanasoka wa FC Barcelona na Argentina Lionel Messi sasa atafunguliwa rasmi mashtaka mahakamani kwa kesi ya kukwepa kodi...

LIONEL MESSI ANATUMIA KIFAA MAARUFU KUPONA HARAKA…KINAITWA “GAME READY”

Hali tete ya Barcelona labda inaweza isiwe ya muda mrefu kwasababu mkali wao Lionel Messi anatumia kifaa special kwa ajili ya kutibu mguu wake....

STORY KUBWA